Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Kwani nafasi anayoshikilia hivi sasa ndani ya CCM inahitaji awe na kiwango gani cha elimu?
 
"Kwakweli CCM kwa msemeo wa wengi yetu inachechemea, yaani kila wanapoteua wasemaji wake ni form six failure! huyu jamaa wa sasa nae ni form 6 failure, mtangulizi wake nae alikua form 6 failure, sasa kusema kua chama chetu kinaendeshwa na intellectuals tunamaanisha nini? Hii hapana kwakweli"
Haya yalikua na maneno ya mwanaccm kindakindaki aliekua akisononeka akionekana mnyonge kabisa aliyeikosa amani ndani ya chama chake.


Ahaah, kumbe tulipokua tunajiuliza huyu alipokua akipondea nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya lakini baada ya kuteuliwa akawa wa kwanza kuripoti kazini. Hivi tunajenga vijana aina ya mwalimu nyerere wansozungumzia misingi ya ujamaa kuwatolea hawa kama mifano kweli?

CCM mna bahati mbaya sana! Utafikiri hakuna intellectuals kwenye chama kubwa kama lenu!

Hivi kati ya Msemaji wa Chama na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama wote wakiwa ni Form Six ' failures ' ni nani ana ' hasara ' zaidi na ya ' kutukuka ' katika Chama chake?
 
Polepole Mpashukuna Wa mtaa wa Nzasa. Nafikiri ni Mwana Ngonjera Mwingine kama Tambalizeni. Most of Kids like these are demon pocessessed from the Womb!

$_1.JPG
 
Wanalingana kama mwenyekiti wa chama fulani ivi cha matukio
 
Unatuletea mambo ya gwajima.weka cheti chake
Halafu hata kama ni kweli failure,yule ni msemaji tu kuliko wewe mnywekiti wako hakufanya mtihani wa form four na form 6 ni zero,anaburuza maprofessor
Mbowe si mwenyekiti wa chama kilichopo madarakani
(chamadola/chamatawala)
Hivyo hana umuhimu wa kujadiliwa na Watanzania wote kwa sasa.
Hata hivyo kumbuka " wanasiasa wa Tanzania wanatakiwa KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA TU"
 
Polepole ni hazina inayopaswa kulindwa , anapambana kisawasawa na upotoshaji unafanywa na wapuuzi wasiyoitakia mema nchi hii. Bila shaka ameshajenga uadui kati yake na majambazi hawa. Mungu amlinde daima.
Kweli Mkuu. Majambazi yaliyotusaliti kwenye kupigania katiba ya wananchi ndio magombea yetu ya URAIS
 
Pole Pole atawasumbua sana ukawa 2020 kama kutakuwa na midahalo ya wazi.
 
Ni kweli tunamsifia kijana but mi namshauri asiingie kwenye siasa asije akawa kama zinto zubell kambwe kununuliwa na kutumiwa na ccm kama kondumu then kutupwa katika dampo la pugu.
Unasema???
 
Humphrey Polepole, mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amekuwa mstari wa mbele kutoa maelezo, ufafanuzi na kukabiliana kwa hoja na Wapinzani wa rasimu katiba iliyowasilishwa.

Kipekee nampongeza sana kwani tume ilikuwa na wajumbe wengi lakini wengine wako kimya ila Bwana Polepole amekabiliana nao na anaendelea kukabiliana nao dhidi ya upotoshaji, kwangu mimi Bw Polepole anastahili tunzo ya heshima.

Nawakaribisha wadau kwa maoni.
Naona busara ya yule aliyeshauri watu kuweka akiba ya maneno. Sina uhakika kama mtoa mada atakuwa na mtazamo huu kuhusu Ndugu Polepole kwa sasa hivi.
 
Wadau ningependa kufahamu cv ya katibu mwenezi wa CCM Ndugu Pole Pole pamoja na alikuwa mwanachama wa CCM kuanzia lini ikiwezekana na namba ya kadi yake ya uanachama.
 
Back
Top Bottom