Humphrey Polepole ni nani?

Nawasilisha.
Tukiwa mezani Mkuu, hatutakiwi kuongea wala kukashifu mtoa chakula. Mkuu chukua mfano wa wale wapambe wa papaa nanii, wakiwa kwenye round ya bia wao no kunifia kila kitu cha papa hata kama kibaya
 
Nawasilisha.
Sisi kwetu enzi hizo kabla ya wakoloni kuja, vijitu vitumbili kama Polepole, vijitu small size kama vile vizee vibibi vilivyokuwa vinazalisha walikuwa wanavinyonga kwa kuvibana pua kuondoa kuleta mbegu mbaya kwenye ukoo. Walikuwa wanaamini kuwa havija kamilika na ni mikosi. The story is here again, Polepole!
 
L
Kachambua kwa kufuata taratibu zote za "kimataifa". Bado Da Ummy yeye nae atachambua kwa kutumia vigezo vya WHO. So far tupo kwenye light track
light track ndio nini?
Unajiaibisha sana...
 
H.Pole Pole amemnyoosha Zito na kumuacha kibwebwe nje
Polepole hajaongea cha maana zaidi ya kuchezesha mikono kama msanii anayefanya freestyle, aje na hoja ya kupingana findings za report ya CAG
 
Polepole anaonekana ameshindwa kupambananao akaungananao basi na sio kingine.
 
Mimi nashauri tumfanyie Maombi kijana mwenzetu, maana kujitoa kule ufahamu sio kwa kawaida......Maana hata ukimuangalia anayoongea unajua kabisa kuna tatizo mahali.
HIVI HUYO NI KIJANA AU NI MZEE?
 
Nanukuu: 'Sijui kwa nini mtu anakuwa mzuri, muadilifu lakini akichaguliwa tu kuwa waziri wizara ya Niashati na Madini anageuka na kuwa ovyo'

Sasa Ndugu yetu Polepole kubadilika mimi sijui asije akataka nikamatwe niwekwe ndani.

LAKINI unajua Ikiwa CCM ni kama gunia tupu la mkaa, ukiingia ndani lazima utakuwa mchafu kama gunia.

Na tusishangae akageuka kabisa na kusema anaunga mkono serikali Mbili kwenye Katiba Mpya ya JMT.
 
Angekuwa Mchaga jamaa angetumia Ripoti hiyo kama kitegauchumi kwake kwa kuwatishia watendaji wampe hongo. Lakini CAG ni mtu asie na tamaa na mshika dini safi
Yule Ludovick Otouh alikuwa msukuma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…