Tukiwa mezani Mkuu, hatutakiwi kuongea wala kukashifu mtoa chakula. Mkuu chukua mfano wa wale wapambe wa papaa nanii, wakiwa kwenye round ya bia wao no kunifia kila kitu cha papa hata kama kibayaNawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiwa mezani Mkuu, hatutakiwi kuongea wala kukashifu mtoa chakula. Mkuu chukua mfano wa wale wapambe wa papaa nanii, wakiwa kwenye round ya bia wao no kunifia kila kitu cha papa hata kama kibayaNawasilisha.
Sisi kwetu enzi hizo kabla ya wakoloni kuja, vijitu vitumbili kama Polepole, vijitu small size kama vile vizee vibibi vilivyokuwa vinazalisha walikuwa wanavinyonga kwa kuvibana pua kuondoa kuleta mbegu mbaya kwenye ukoo. Walikuwa wanaamini kuwa havija kamilika na ni mikosi. The story is here again, Polepole!Nawasilisha.
haha im back baada ya ban ya wiki mbili sijui siku ngapi zileMulhat[emoji7] [emoji7]
Polepole na wewe wote ni pipa na funikoH.Pole Pole amemnyoosha Zito na kumuacha kibwebwe nje
light track ndio nini?Kachambua kwa kufuata taratibu zote za "kimataifa". Bado Da Ummy yeye nae atachambua kwa kutumia vigezo vya WHO. So far tupo kwenye light track
Polepole hajaongea cha maana zaidi ya kuchezesha mikono kama msanii anayefanya freestyle, aje na hoja ya kupingana findings za report ya CAGH.Pole Pole amemnyoosha Zito na kumuacha kibwebwe nje
Mkaa huu usiujali.Ulichojibu hapa kina ' logical connection ' yoyote ile na ' thread content ' yangu? Hukukosea ID yako kuiita ' Jingalao '. Heko!
Wewe darasa la saba ndiyo unaye muelewaMtoto wa form four ana uwezo wa kuelewa hoja za polepole?
UnagunaMmhh
nahisi wewe ni yule mbunge anayeitwa "Kibaji"...H.Pole Pole amemnyoosha Zito na kumuacha kibwebwe nje
HIVI HUYO NI KIJANA AU NI MZEE?Mimi nashauri tumfanyie Maombi kijana mwenzetu, maana kujitoa kule ufahamu sio kwa kawaida......Maana hata ukimuangalia anayoongea unajua kabisa kuna tatizo mahali.
FoolishMimi naangalia scientific connection ....in science we do not believe in logic...but facts....Humphrey PolePole katimia facts Zitto alitumia logic
Jamany polee mamii[emoji8] [emoji8]haha im back baada ya ban ya wiki mbili sijui siku ngapi zile
Yule Ludovick Otouh alikuwa msukuma!!Angekuwa Mchaga jamaa angetumia Ripoti hiyo kama kitegauchumi kwake kwa kuwatishia watendaji wampe hongo. Lakini CAG ni mtu asie na tamaa na mshika dini safi
mahesabu ya kutoa😀Anafundisha nini mkuu?