Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Nawasilisha.
Sisi kwetu enzi hizo kabla ya wakoloni kuja, vijitu vitumbili kama Polepole, vijitu small size kama vile vizee vibibi vilivyokuwa vinazalisha walikuwa wanavinyonga kwa kuvibana pua kuondoa kuleta mbegu mbaya kwenye ukoo. Walikuwa wanaamini kuwa havija kamilika na ni mikosi. The story is here again, Polepole!
 
L
Kachambua kwa kufuata taratibu zote za "kimataifa". Bado Da Ummy yeye nae atachambua kwa kutumia vigezo vya WHO. So far tupo kwenye light track
light track ndio nini?
Unajiaibisha sana...
 
Polepole anaonekana ameshindwa kupambananao akaungananao basi na sio kingine.
 
Mimi nashauri tumfanyie Maombi kijana mwenzetu, maana kujitoa kule ufahamu sio kwa kawaida......Maana hata ukimuangalia anayoongea unajua kabisa kuna tatizo mahali.
HIVI HUYO NI KIJANA AU NI MZEE?
 
Nanukuu: 'Sijui kwa nini mtu anakuwa mzuri, muadilifu lakini akichaguliwa tu kuwa waziri wizara ya Niashati na Madini anageuka na kuwa ovyo'

Sasa Ndugu yetu Polepole kubadilika mimi sijui asije akataka nikamatwe niwekwe ndani.

LAKINI unajua Ikiwa CCM ni kama gunia tupu la mkaa, ukiingia ndani lazima utakuwa mchafu kama gunia.

Na tusishangae akageuka kabisa na kusema anaunga mkono serikali Mbili kwenye Katiba Mpya ya JMT.
 
Angekuwa Mchaga jamaa angetumia Ripoti hiyo kama kitegauchumi kwake kwa kuwatishia watendaji wampe hongo. Lakini CAG ni mtu asie na tamaa na mshika dini safi
Yule Ludovick Otouh alikuwa msukuma!!
 
Back
Top Bottom