Nachoweza kusema tu kwa jinsi nilivyomwona kupitia uwasilishaji wake wa mada, ni mmoja wa vijana wachache wazuri na anayejitambua asiye tayari kutumika kupotosha umma, ana uelewa mkubwa wa masuala ya katiba na maoni ya wananchi, na maono ya mbali. Mungu amjalie afya njema na maisha marefu anaweza kuwa kiongozi mzuri na msaada kwa jamii ya watz.