Humphrey Polepole ni nani?

Humphrey Polepole ni nani?

Nachoweza kusema tu kwa jinsi nilivyomwona kupitia uwasilishaji wake wa mada, ni mmoja wa vijana wachache wazuri na anayejitambua asiye tayari kutumika kupotosha umma, ana uelewa mkubwa wa masuala ya katiba na maoni ya wananchi, na maono ya mbali. Mungu amjalie afya njema na maisha marefu anaweza kuwa kiongozi mzuri na msaada kwa jamii ya watz.
 
Humphrey ni smart sana mimi binafsi namkubali sana.
 
Watz tuwe wakweli,kama tungejitambua mapema kama huyu mjumbe Polepole,hakika viongozi hawa sasa hivi ndo wangeonekana wao ndo wajinga,tusipo jitambua ndugu zangu wataendelea kuutumia ujinga wetu ndiyo mtaji wao,tubadilike na tuige mfano wa polepole,hongela sana kijana polepole tuko nyuma yako.
 
Nani asiye mjua polepole kuwa ni mwana chadema?msaliti analeta uchochezi ni mnafiki
 
Polepole ni kijana makini sana atunukiwe shahada ya heshima juu ya maswala ya katiba. Jamii inajivunia vijana kama pole pole tuige mfano wake tuipeleke nchi kunakotakiwa.
 
Ni chache kwa vijana wa Tanganyika, kuweza kusimamia yale tuyaonayo yana manufaa mapana kwa Taifa.
Sio kama akina mwigulu nchemba, wachumia tumbo......... !
 
Namfuatilia na kumsikiliza kwakweli amenibadilisha sana kifrika nakimtazamo wangu, kupitia yy nimeelimikaa namuombea kwa mungu abarik asikutane na wang'oa kucha naogopa yasimtokee
 
Hapa jukwaani wadau mnao mjua huyu bwana hebu tujuzeni. Nimemsikiliza leo hapo itv kipima joto. Nimekubali jamaa ni kichwa anajua na kuelewa anachokiongelea na kukifanya. Huyu anaweza kuwa malighafi ya urasi siku zijanzo. MUNGU mpe nguvu na uzima tumuone siku zijazo. Anaweza akawa suluhisho kwa hawa mafisadi wanaopigana vikumbo kwenye kuwania urahisi.
 
Sifa zote mlizompa hata mimi nawaunga mkono. Zaidi ya Ulinzi anaopewa na Mungu, tumuombee aishi maisha marefu aje awe SHUJAA wa Taifa hili
 
Sifa zote mlizompa hata mimi nawaunga mkono. Zaidi ya Ulinzi anaopewa na Mungu, tumuombee aishi maisha marefu aje awe SHUJAA wa Taifa hili

hata mm namwombea maisha marefu amewaumbua sana hawa wahuni ccm
 
Japo nilikuwa na haraka jana sikumsikiliza sana, ila alikuwa anajenga hoja vizuri on Star Tv - than Mwingulu, anyway mimi bado sijaona sababu ya UKAWA kususa, I thought - wangewatumia watu kama hawa akina polepole "wakiwa nje ya bunge", and then wakati wa debate bungeni wawe wanatoa ufafanuzi wenye details kama hizi, badala ya njia waliyochukua, UKAWA wengi naona hawakujindaa kwa hoja instead walikimbilia mkenge wa mipasho na matokeo yake wamekimbilia hoja ya Intarahamwe eti CCM ni wengi, anyway tusubiri tuone movie

UKAWA kutoka nje ya Bunge ni sahihi sana kwa anayefahamu ubabaishaji unaondelea kwa sasa. Ukweli ni kwamba taratibu zimevurugwa sana kiasi kwamba vifungu muhimu vimebadilishwa au kupitishwa vifungu kwa wingi was wajumbe si HOJA. Sote tafahamu wajumbe walio wengi Hawako Objective na wengi hawajui hata rasimu inazungumzia nini!
 
Huyu huwa namwita "nyerere mpya" kwani huongea masuala ya kweli na ambayo hata fisadi akisikia anahisi hitimisho la ufisadi wake. Masikitiko yangu ni kwamba, vijana kama hawa hushughulikiwa mapema kwa kudanganywa kwa vijiajira vya ubalozini hatimaye jamii haitamsikia tena na huenda akarejea nchinu ndani ya box!!!! Mungu mlinde polepole! Amina
 
POLEPOLE wewe ni kiongozi na hazina kwa taifa letu.Karibu Mwanza na Magu Home uwe hata mbunge wetu upate uwanja mpana wa kutusemea watz
 
Huyu polepole anatumiwa na mataifa ya nje kishamaliza kazi yake ya rasimu apumzike.dawa yake inakuja:
 
Huyu polepole anatumiwa na mataifa ya nje kishamaliza kazi yake ya rasimu apumzike.dawa yake inakuja:

sawa mganga wa kienyeji..una tiba za kila aina ukishampatia polepole dawa yake ujitafutie na wewe dawa yako ya kupunguza harufu ya mashuzi yako..
 
Back
Top Bottom