GE2025 Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Shujaa mpya wa chadema, amesababisha hadi tusahau kuwa domokaya maudenda yupo gerezani..
Mr slow slow, habari inayogonga vichwa vya habari dunia nzima!
Qmmae chadomo watazinduka kumekucha.
 
AGENDA ZENU ZA SIRI ZIMESHA SHINDIKANA KWA 100%,WEWE NA KAKUNDI KENU,HEKIMA NI KUKAA KIMYA KAMA MNAVYOLEWA MKUBALI YAISHE 💪
 
Bado yupo mafichoni?
 
Thanks a million.
 
Taarifa za njama zote za ikulu zipo mikononi mwa makamba ......Hii series ya kuvujisha oil Hadi October
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…