SLOW SLOW NI TAPELI!
Huyu nae hana jipya
Inawezekana akawa "Tapeli"; kama hawa akina Samia Suluhu na wengineo; ambao hata siku moja sijasikia wakitumia hayo maneno ya mistari miwili hapo juu; hata kule kwa kudanganyia tu!Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.
Mimi nataka nimsikilize huyu "tapeli". Inawezekana akawa njiani kupona gonjwa hilo baya kwa mstakabali wa nchi yetu!
Hawa wengine hata hiyo juhudi ya kujirudi siioni!