GE2025 Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Azungumze na umma yeye kama nani akwendreee huko.

Mama Samia 2025-30
 
Another Lyatonga, ni either aende Mazima, kwa ushahidi, au anyamaze milele
 
Jaw
Kati ya wazalendo wa chache waliobaki kwenye nchi yetu na Bwana Pole pole Yumo.

Huyu Mzee Butiku Mzee warioba. MH kabudi. Ndugu Bashiru Ally kakurwa pamoja na MH Mpina na Bishop Ngwajima Hawa ni wazalendo wa kweli kabisa.
Hawana uzalendo wowote ni kwa vile saa100 ni mpole mbona kipindi cha jiwe waliufyata
 
​

View attachment 3423410

NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU
​
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa. Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)

Wanahabari watakaoshiriki ni;-

Deodatus Balile
Mtozi Aloyce Nyanda
Kalvin Raphael (Zungu)

Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.

Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.

Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.

Wenu,

Ndugu Humphrey H. Polepole
Balile hapana bora angekuwa Pachal Mayalla ni zimwi likujualo lakini Balile hafai amelambishwa asali ya nyuki wadogo.
 
Hivi polepole ana back up kweli
Je ubalozi alivyojivua alifata protocol 😄
Angaalie bana asije tumiwa watu wa auditing 😄

Ova
 
​

View attachment 3423410

NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU
​
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa. Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)

Wanahabari watakaoshiriki ni;-

Deodatus Balile
Mtozi Aloyce Nyanda
Kalvin Raphael (Zungu)

Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.

Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.

Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.

Wenu,

Ndugu Humphrey H. Polepole
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.😂😂😂😂😂
 
Huyu nae hana jipya
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.
 
Kati ya wazalendo wa chache waliobaki kwenye nchi yetu na Bwana Pole pole Yumo.

Huyu Mzee Butiku Mzee warioba. MH kabudi. Ndugu Bashiru Ally kakurwa pamoja na MH Mpina na Bishop Ngwajima Hawa ni wazalendo wa kweli kabisa.
Awamu ya Tano wote walikua wamefunga midomo yao.....kama ni wazalendo pia ni waoga.
 
Polepole aache uoga,,,aseme kwenye vikao vya CCM au aitishe mkutano wa wazi na wanahabari.,,,,Nakumbuka Mwalimu Nyerere kwenye utawala wa Mwinyi alitoka hadharani mchana,,,,akayasema yote yanayomkera kwenye uongozi wa nchi.
 
​

View attachment 3423410

NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU
​
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa. Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)

Wanahabari watakaoshiriki ni;-

Deodatus Balile
Mtozi Aloyce Nyanda
Kalvin Raphael (Zungu)

Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.

Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.

Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.

Wenu,

Ndugu Humphrey H. Polepole
Ataishia kuwa mtu wa press hivyo hivyo Hadi anazeeka
 
Na wewe unampangia kama nani? Mtu ambaye huna uwezo wa kumnyamazisha hata nguruwe, ndiyo ukawe na uwezo wa kumzuia Polepole asiongee?
Sasa hapo Nguruwe ni wewe au poolepoole

Mama Samia 2025. October tunatiki

hutaki hamia Burundi.
 
The Two Office Rules ;-
1 - The Boss is always Right ✅
2 - When he/she’s wrong follow rule number One ☝️ ,

Polepole bado haelewi tu ! ???! Duh 🙄 !
😅😅😅😄😄😱 !
 
Mwambie Wahuni wanazidi kuchanja Mbuga kuelekea uchaguzi mkuu.
 
​

View attachment 3423410

NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU
​
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa. Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)

Wanahabari watakaoshiriki ni;-

Deodatus Balile
Mtozi Aloyce Nyanda
Kalvin Raphael (Zungu)

Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.

Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.

Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.

Wenu,

Ndugu Humphrey H. Polepole
Ukiwa Umofia, kuwa Obierika ni bora kuliko kuwa Okonkwo. Waliosoma "Things fall apart" watanielewa
 
Back
Top Bottom