Huyu nae hana jipya
Huamini eti!?Ndo kasema hivyo??
Hawana uzalendo wowote ni kwa vile saa100 ni mpole mbona kipindi cha jiwe waliufyataKati ya wazalendo wa chache waliobaki kwenye nchi yetu na Bwana Pole pole Yumo.
Huyu Mzee Butiku Mzee warioba. MH kabudi. Ndugu Bashiru Ally kakurwa pamoja na MH Mpina na Bishop Ngwajima Hawa ni wazalendo wa kweli kabisa.
Balile hapana bora angekuwa Pachal Mayalla ni zimwi likujualo lakini Balile hafai amelambishwa asali ya nyuki wadogo.
View attachment 3423410
NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa. Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)
Wanahabari watakaoshiriki ni;-
Deodatus Balile
Mtozi Aloyce Nyanda
Kalvin Raphael (Zungu)
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.
Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.
Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania πΉπΏ namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.
Wenu,
Ndugu Humphrey H. Polepole
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.πππππ
View attachment 3423410
NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa. Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)
Wanahabari watakaoshiriki ni;-
Deodatus Balile
Mtozi Aloyce Nyanda
Kalvin Raphael (Zungu)
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.
Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.
Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania πΉπΏ namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.
Wenu,
Ndugu Humphrey H. Polepole
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.Huyu nae hana jipya
Awamu ya Tano wote walikua wamefunga midomo yao.....kama ni wazalendo pia ni waoga.Kati ya wazalendo wa chache waliobaki kwenye nchi yetu na Bwana Pole pole Yumo.
Huyu Mzee Butiku Mzee warioba. MH kabudi. Ndugu Bashiru Ally kakurwa pamoja na MH Mpina na Bishop Ngwajima Hawa ni wazalendo wa kweli kabisa.
Ataishia kuwa mtu wa press hivyo hivyo Hadi anazeeka
View attachment 3423410
NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa. Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)
Wanahabari watakaoshiriki ni;-
Deodatus Balile
Mtozi Aloyce Nyanda
Kalvin Raphael (Zungu)
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.
Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.
Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania πΉπΏ namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.
Wenu,
Ndugu Humphrey H. Polepole
Sasa hapo Nguruwe ni wewe au poolepooleNa wewe unampangia kama nani? Mtu ambaye huna uwezo wa kumnyamazisha hata nguruwe, ndiyo ukawe na uwezo wa kumzuia Polepole asiongee?
Ukiwa Umofia, kuwa Obierika ni bora kuliko kuwa Okonkwo. Waliosoma "Things fall apart" watanielewa
View attachment 3423410
NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa. Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)
Wanahabari watakaoshiriki ni;-
Deodatus Balile
Mtozi Aloyce Nyanda
Kalvin Raphael (Zungu)
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.
Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.
Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania πΉπΏ namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.
Wenu,
Ndugu Humphrey H. Polepole
Tayari !Huyu Polepole au anachanganyikiwa