GE2025 Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndoto za Alinacha hizo !
I think Polepole amedata !
Anazijua Nguvu za Mkuu lakini ??!
 
Uzuri wake amezingatia na ratiba ya kesi pale Kisutu
 
Tunamsubiri kwa hamu kubwa nguli huyu.
 
Slow Slow angenyamaza tu
Au atoke hadharani azungumze
aelewe kila zama na kitabu chake
mfumo sahv hauwataki
hata hawa watapita tu
Uzuri umri unawaruhusu kikubwa uhai

Ova
 
Huyu ni mfa maji.
 
Polepole anamchukia sana Samia bila sababu za msingi.
 
Mambo ni matatu
1. Waandishi tajwa kutoonekana kwasababu yoyote
2. Mitandao kuzimwa kabisa siku hiyo
3. Polepole kukamatwa
 
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.
Mpaka Mshana umekamatika na CCM. Hahaha. Polepole anapigania CCM boss. Yeye na Samia wanajenga nyumba moja.
 
SLOW SLOW NI TAPELI!
Mimi hajanitapeli, hivyo siwezi kumuita tapeli.
CCM ndio matapeli halisi maana tangu tumepata uhuru (ikiwa TANU na baadaye CCM), tumeongeza maadui wa taifa badala ya kuwaondoa waliokuwepo!!
 
karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…