SLOW SLOW NI TAPELI!
Huyu nae hana jipya
Inawezekana akawa "Tapeli"; kama hawa akina Samia Suluhu na wengineo; ambao hata siku moja sijasikia wakitumia hayo maneno ya mistari miwili hapo juu; hata kule kwa kudanganyia tu!Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.
Unanikumbusha mkasa wa kwanza kabisa kuchafuka kwa roho yangu na huyu Laghai Samia.Taarifa za njama zote za ikulu zipo mikononi mwa makamba ......Hii series ya kuvujisha oil Hadi October
Ndugu yangu Polepole ungelikuwa na akili ungelikaa kimya. CCM ni dude kuuuuuubwa sana huliweI!!
View attachment 3423410
NITAZUNGUMZA NA UMMA 31 JULAI 2025 SAA 2:00 USIKU
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa. Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)
Wanahabari watakaoshiriki ni;-
Deodatus Balile
Mtozi Aloyce Nyanda
Kalvin Raphael (Zungu)
Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama. Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya.
Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.
Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.
Wenu,
Ndugu Humphrey H. Polepole
Apige tu spana, lakini chama ndiyo hivyo tena—kimeshatekwa na wahuni!

Tunamsubiri Lisu uraiani ilitujue dira ya taifa

Halafu bado unamfuatilie, kama ana la maana mpuuzeni.Huyu ni mgonjwa wa Narcissistic Personality Disorder!
Majimbo mawili kutoka kwa wanafamilia wa Godfather wamepita bila watia nia wengine, inawezekana kweli?Ndugu yangu Polepole ungelikuwa na akili ungelikaa kimya. CCM ni dude kuuuuuubwa sana huliweI!!
Watu wa majimbo hayo wana akili.Majimbo mawili kutoka kwa wanafamilia wa Godfather wamepita bila watia nia wengine, inawezekana kweli?
Utaongea wewe kama nani?