Humphrey Polepole, Rais akihitaji muongee ana kwa ana Ikulu upo tayari?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,918
Ndugu Polepole,
Salaam!

Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:-
(a). Uchaguzi ndani ya CCM;
(b). Haki za kibinadamu;
(c). Kalenda ya Uchaguzi Mkuu; na
(d). Kuunda upya uongozi wa CCM.

Kimsingi ushauri wako ni mzuri ingawa njia unazotumia kumfikishia ujumbe huenda zina kasoro kidogo.

SASA, nauliza

Rais wa Tanzania akiwa tayari kusikiliza ushauri wako mkiwa ana kwa ana ofisini Ikulu au kwenye Ofisi za CCM Makao Makuu upo tayari kufika?

Msakila Kabende
(MKULIMA)
Kakonko - Kigoma.
 
Naona mmetumwa kufanya set up mjue alipo.

Kabla hamjamuita Polepole kwanini mliruka ukuta na kuvamia nyumbani kwa dada yake na mkamteka?

Siku Polepole akionekana hadharani kwa sasa ndio siku atakayotekwa.

Huyu mama yenu sio mtu wa dialogue sababu hawezi kujenga hoja ukweli usemwe.
 
Taarifa zipo za uhakika wewe ni wakala wa wauaji umetumwa kudadisi namana ya kumpata HP ambaye yumo kwenye orodha yenu ya kumuua pamoja na watu wengine mnaowakusudia.; rejesha kipapatio kwa maembe msitishe mpango huo haraka.

We are well informed that you are an operative for the murderers assigned to uncover the true whereabouts of HP, who is among those marked for assassination, alongside other notable patriotic individuals you have designated as targets. You are advised to debrief the rogue operative head to defunct the evil mission as soon as practicable..

@ HPolepole, please do not fall for the Bobby trick suggested by the dark agent mentioned above; it will jeopardize your survival in the malevolent mission directed at you. Please be steadfast in avoiding these deceitful individuals, as the serpent's desire and intention to consume your very being are indeed genuine.

@ HPolepole, tafadhali usijikute katika hila ya mtego uliopendekezwa na wakala wa wahuni aliyejitaja hapo juu; itahatarisha maisha yako katika ka kuwa mpango uliopangwa dhidi yako ni halisi. Dumu katika kujiepusha na watu hawa wa udanganyifu, kwani tamaa na nia ya nyoka ya kkukuangamiza ni dhahiri.
 
HAKI ya Mungu sina ninachojua; naamini tu kuwa mazungumzo mezani huleta mwendelezo mzuri.
 
Naona mmetumwa kufanya set up mjue alipo.

Kabla hamjamuita Polepole kwanini mliruka ukuta na kuvamia nyumbani kwa dada yake na mkamteka?

Siku Polepole akionekana hadharani kwa sasa ndio siku atakayotekwa.

Huyu mama yenu sio mtu wa dialogue sababu hawezi kujenga hoja ukweli usemwe.
Hapana msiwe na dhana potofu, hatadhulika - msingi mzuri wa mapatano ni mazungumzo na kila upande kuwa tayari kwa utekelezaji wake
 
Nimemaliza kumsikiliza pole pole naona taifa linaandaliwa vema kisaikolojia kujisimamia mwaka huu.

Nukuu za Pole pole.

1/ Mama ukichukua form na kugombea Urais utakuwa umetutukana watanzania wote.

2/Mama unataka kugombea na Salum Mwalimu wa chauma, Mama unataka kugombea na Mpina wa Act. Kweli mama unataka kugombea na hawa na moyo wako una amani kabisa?

3/ Kwani Act sisi ccm hatuijuhi? Pole pole anatufumbua macho na kututhibitishia jambo hapa kuhusu Act.

4/ Pole Pole anashauri mama amuachie Mh Lissu bila masharti aende kwenye familia yake. Kisha aitishe muafaka wa kitaifa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi. Amesema vyombo vya dola vitajipanga kutokana na maamuzi ya wananchi ambao ndio wenye nchi. Hapa maana yake tume isituambie muda umekwisha. Kila jambo linawezekana waamuzi wa mwisho ni wananchi sio ratiba za serikali na vyombo vyake.

5/ Kuhusu Hayati magufuli sizumgumzii chochote kila mmoja ameelewa code za Pole pole.

6/ Kuhusu Ndugai na kobe wa uvvccm kupandishwa juu ya mti ili kumtukana Ndugai na kumlazimisha ajiuzulu pia sisemi.Mtu yule kutoka kundi la mtandao anayeogopeka na kutisha. Aliyekwenda Dodoma kwa Ndugai na kumwambia jiuzulu na kisha mzee akasema.Nimekosa mimi...Nimekosa sana..Nisameewe huyo naye simzungumzii.Pole pole Amesema kundi hilo linatisha sana.

Hamphrey Pole pole you made my day.

Chadema wako sawa tukatae wahuni kwanza ndipo twende kwenye uchaguzi.This is our country.

Wale mnaodharau msimamo wa chadema muwe na adabu mmeelewa sasa nchi iko wapi.

Wale mnaosema wana chadema wanamezwa na hoja za pole pole muwe na adabu.Huyu jamaa ametujengea nguvu ya mapambano leo kiasi kwamba tunaona kabisa huu ndio mwaka wa mabadiliko.

Kataa wahuni ponyesha Tanzania.
 
Yuko tayari kukutana na Rais ili kuongea kila jambo kinagaubaga?
 
Hahaha nilidhani alipojiita chura kiziwi alikuwa anatania.

Hivi hizo video na sauti yoote ile anayoongea Polepole huyo mamaA hasikii au haelewi?

Kwa sauti ile kama hasikii hata wakionana ana kwa ana hatosikia.
 
Yuko tayari kukutana na Rais ili kuongea kila jambo kinagaubaga?
HP alishawasiliana naye huyo mkalia kiti lakini anashupaza shingo kutokana na madaraka aliyokuwa nayo anadhani ndio wanaolinda uwepo wake. Madaraka ni kama wingu linapita angani linaweza kuamua kudondosha matone ya maji kwenye mitaa mitatu na kuacha mitaa kumi kwa makusudi maalum.

Cheo ni dhamana utaondoka au utaondoshwa basi, that is a unique principle.
 
Back
Top Bottom