Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
- Thread starter
- #81
Yes, mbn hata Zelensky na Putin wako njiani kukutana!Seriously?aje bongo 😂
Utashi ndiyo jambo muhimu kuliko chochote.
Yes, mbn hata Zelensky na Putin wako njiani kukutana!Seriously?aje bongo 😂
Kataa wahuni.Ndugu Polepole,
Salaam!
Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:-
(a). Uchaguzi ndani ya CCM;
(b). Haki za kibinadamu;
(c). Kalenda ya Uchaguzi Mkuu; na
(d). Kuunda upya uongozi wa CCM.
Kimsingi ushauri wako ni mzuri ingawa njia unazotumia kumfikishia ujumbe huenda zina kasoro kidogo.
SASA, nauliza
Rais wa Tanzania akiwa tayari kusikiliza ushauri wako mkiwa ana kwa ana ofisini Ikulu au kwenye Ofisi za CCM Makao Makuu upo tayari kufika?
Msakila Kabende
(MKULIMA)
Kakonko - Kigoma.
Yaani ufananishe Putin na zele?Yes, mbn hata Zelensky na Putin wako njiani kukutana!
Utashi ndiyo jambo muhimu kuliko chochote.
Nakujua snNope!
Sina hata robo ya mahusiano na yeyote. Mimi ni mpatanishi tu.
hahahaaaa.umechekesha kweli.yule jamaa ameshajitengenezea uadui mkubwa sana .nyuki huwa na maklia wanaomlinda.sasa ukitaka kumfikia malkia wa nyuki sijui utafanyeke nyuki wasiukuumeNdugu Polepole,
Salaam!
Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:-
(a). Uchaguzi ndani ya CCM;
(b). Haki za kibinadamu;
(c). Kalenda ya Uchaguzi Mkuu; na
(d). Kuunda upya uongozi wa CCM.
Kimsingi ushauri wako ni mzuri ingawa njia unazotumia kumfikishia ujumbe huenda zina kasoro kidogo.
SASA, nauliza
Rais wa Tanzania akiwa tayari kusikiliza ushauri wako mkiwa ana kwa ana ofisini Ikulu au kwenye Ofisi za CCM Makao Makuu upo tayari kufika?
Msakila Kabende
(MKULIMA)
Kakonko - Kigoma.
Ikiratibiwa vizuri hakuna atakayeumiza mwingine - tunatafuta mwanzo mpya na utengamano wa kitaifa.hahahaaaa.umechekesha kweli.yule jamaa ameshajitengenezea uadui mkubwa sana .nyuki huwa na maklia wanaomlinda.sasa ukitaka kumfikia malkia wa nyuki sijui utafanyeke nyuki wasiukuume
Wewe Shetani akiomba muongee ana kwa ana utakubali?Ndugu Polepole,
Salaam!
Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:-
(a). Uchaguzi ndani ya CCM;
(b). Haki za kibinadamu;
(c). Kalenda ya Uchaguzi Mkuu; na
(d). Kuunda upya uongozi wa CCM.
Kimsingi ushauri wako ni mzuri ingawa njia unazotumia kumfikishia ujumbe huenda zina kasoro kidogo.
SASA, nauliza
Rais wa Tanzania akiwa tayari kusikiliza ushauri wako mkiwa ana kwa ana ofisini Ikulu au kwenye Ofisi za CCM Makao Makuu upo tayari kufika?
Msakila Kabende
(MKULIMA)
Kakonko - Kigoma.
Huyo mama kama alishindwa kuvumilia maneno ya kawaida tu ya Marehemu Ndugai,akili yako inakutuma ana kifua cha kupokea ujumbe wa HP?Yuko tayari kukutana na Rais ili kuongea kila jambo kinagaubaga?
Atapokea, naamini watazungumza na juice watakula pamojaHuyo mama kama alishindwa kuvumilia maneno ya kawaida tu ya Marehemu Ndugai,akili yako inakutuma ana kifua cha kupokea ujumbe wa HP?
Hapana. Huyu ndg namjua uso kwa uso, ni mtu mwema na raia mwema. Mtia nia wa Ubunge jimbo la Buyungu mwaka 2015 na mkubwa wangu wa Chuo kwa darasa moja. Ni mwana CCM mwema na mtu poa tu. Ameleta mada yake kwa nia njema tu ili wadau walijadili.Taarifa zipo za uhakika wewe ni wakala wa wauaji umetumwa kudadisi namana ya kumpata HP ambaye yumo kwenye orodha yenu ya kumuua pamoja na watu wengine mnaowakusudia.; rejesha kipapatio kwa maembe msitishe mpango huo haraka.
We are well informed that you are an operative for the murderers assigned to uncover the true whereabouts of HP, who is among those marked for assassination, alongside other notable patriotic individuals you have designated as targets. You are advised to debrief the rogue operative head to defunct the evil mission as soon as practicable..
@ HPolepole, please do not fall for the Bobby trick suggested by the dark agent mentioned above; it will jeopardize your survival in the malevolent mission directed at you. Please be steadfast in avoiding these deceitful individuals, as the serpent's desire and intention to consume your very being are indeed genuine.
@ HPolepole, tafadhali usijikute katika hila ya mtego uliopendekezwa na wakala wa wahuni aliyejitaja hapo juu; itahatarisha maisha yako katika ka kuwa mpango uliopangwa dhidi yako ni halisi. Dumu katika kujiepusha na watu hawa wa udanganyifu, kwani tamaa na nia ya nyoka ya kkukuangamiza ni dhahiri.
Wala kushikana mikonoAkienda asinywe maji wala juice
Asante kwa ufafanuzi!Hapana. Huyu ndg namjua uso kwa uso, ni mtu mwema na raia mwema. Mtia nia wa Ubunge jimbo la Buyungu mwaka 2015 na mkubwa wangu wa Chuo kwa darasa moja. Ni mwana CCM mwema na mtu poa tu. Ameleta mada yake kwa nia njema tu ili wadau walijadili.
Wala kushikana mikono