Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Taarifa zipo za uhakika wewe ni wakala wa wauaji umetumwa kudadisi namana ya kumpata HP ambaye yumo kwenye orodha yenu ya kumuua pamoja na watu wengine mnaowakusudia.; rejesha kipapatio kwa maembe msitishe mpango huo haraka.Ndugu Polepole,
Salaam!
Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:-
(a). Uchaguzi ndani ya CCM;
(b). Haki za kibinadamu;
(c). Kalenda ya Uchaguzi Mkuu; na
(d). Kuunda upya uongozi wa CCM.
Kimsingi ushauri wako ni mzuri ingawa njia unazotumia kumfikishia ujumbe huenda zina kasoro kidogo.
SASA, nauliza
Rais wa Tanzania akiwa tayari kusikiliza ushauri wako mkiwa ana kwa ana ofisini Ikulu au kwenye Ofisi za CCM Makao Makuu upo tayari kufika?
Msakila Kabende
(MKULIMA)
Kakonko - Kigoma.
HAKI ya Mungu sina ninachojua; naamini tu kuwa mazungumzo mezani huleta mwendelezo mzuri.Taarifa zipo za uhakika wewe ni wakala wa wauaji umetumwa kudadisi namana ya kumpata HP ambaye yumo kwenye orodha yenu ya kumuua pamoja na watu wengine mnaowakusudia.; rejesha kipapatio kwa maembe msitishe mpango huo haraka.
We are well informed that you are an operative for the murderers assigned to uncover the true whereabouts of HP, who is among those marked for assassination, alongside other notable patriotic individuals you have designated as targets. You are advised to debrief the rogue operative head to defunct the evil mission as soon as practicable..
@ HPolepole, please do not fall for the Bobby trick suggested by the dark agent mentioned above; it will jeopardize your survival in the malevolent mission directed at you. Please be steadfast in avoiding these deceitful individuals, as the serpent's desire and intention to consume your very being are indeed genuine.
@ HPolepole, tafadhali usijikute katika hila ya mtego uliopendekezwa na wakala wa wahuni aliyejitaja hapo juu; itahatarisha maisha yako katika ka kuwa mpango uliopangwa dhidi yako ni halisi. Dumu katika kujiepusha na watu hawa wa udanganyifu, kwani tamaa na nia ya nyoka ya kkukuangamiza ni dhahiri.
Hapana msiwe na dhana potofu, hatadhulika - msingi mzuri wa mapatano ni mazungumzo na kila upande kuwa tayari kwa utekelezaji wakeNaona mmetumwa kufanya set up mjue alipo.
Kabla hamjamuita Polepole kwanini mliruka ukuta na kuvamia nyumbani kwa dada yake na mkamteka?
Siku Polepole akionekana hadharani kwa sasa ndio siku atakayotekwa.
Huyu mama yenu sio mtu wa dialogue sababu hawezi kujenga hoja ukweli usemwe.
Anaweza kuja na maji yake sawa ilaAkienda asinywe maji wala juice
Sasa pendekezaNipo tayari
Mimi nagonga spana kwa sasa mpaka September.Sasa pendekeza
- Nani wahudhurie;
- Mazungumzo yawe ya siri au yarushwe mbashala;
- Yafanyike lini?
ID fake ni ipi?Namba za polepole zinajulikana
Na account zake zinajulikana
Nadhali ungemuuliza kupitia huko ingeleta mantiki zaidi kuliko kuja kuziuliza IDs fake huku
Yuko tayari kukutana na Rais ili kuongea kila jambo kinagaubaga?Nimemaliza kumsikiliza pole pole naona taifa linaandaliwa vema kisaikolojia kujisimamia mwaka huu.
Nukuu za Pole pole.
1/ Mama ukichukua form na kugombea Urais utakuwa umetutukana watanzania wote.
2/Mama unataka kugombea na Salum Mwalimu wa chauma, Mama unataka kugombea na Mpina wa Act. Kweli mama unataka kugombea na hawa na moyo wako una amani kabisa?
3/ Kwani Act sisi ccm hatuijuhi? Pole pole anatufumbua macho na kututhibitishia jambo hapa kuhusu Act.
4/ Pole Pole anashauri mama amuachie Mh Lissu bila masharti aende kwenye familia yake. Kisha aitishe muafaka wa kitaifa kabla ya kuingia kwenye uchaguzi. Amesema vyombo vya dola vitajipanga kutokana na maamuzi ya wananchi ambao ndio wenye nchi. Hapa maana yake tume isituambie muda umekwisha. Kila jambo linawezekana waamuzi wa mwisho ni wananchi sio ratiba za serikali na vyombo vyake.
5/ Kuhusu Hayati magufuli sizumgumzii chochote kila mmoja ameelewa code za Pole pole.
6/ Kuhusu Ndugai na kobe wa uvvccm kupandishwa juu ya mti ili kumtukana Ndugai na kumlazimisha ajiuzulu pia sisemi.Mtu yule kutoka kundi la mtandao anayeogopeka na kutisha. Aliyekwenda Dodoma kwa Ndugai na kumwambia jiuzulu na kisha mzee akasema.Nimekosa mimi...Nimekosa sana..Nisameewe huyo naye simzungumzii.Pole pole Amesema kundi hilo linatisha sana.
Hamphrey Pole pole you made my day.
Chadema wako sawa tukatae wahuni kwanza ndipo twende kwenye uchaguzi.This is our country.
Wale mnaodharau msimamo wa chadema muwe na adabu mmeelewa sasa nchi iko wapi.
Wale mnaosema wana chadema wanamezwa na hoja za pole pole muwe na adabu.Huyu jamaa ametujengea nguvu ya mapambano leo kiasi kwamba tunaona kabisa huu ndio mwaka wa mabadiliko.
Kataa wahuni ponyesha Tanzania.
Mbona maridhiano yalishindikana kama kweli mnaamini katika mazungumzo? Atekelezwe alichashauriwa sio mambo kutaka kuonana uso kwa uso.HAKI ya Mungu sina ninachojua; naamini tu kuwa mazungumzo mezani huleta mwendelezo mzuri.
HP alishawasiliana naye huyo mkalia kiti lakini anashupaza shingo kutokana na madaraka aliyokuwa nayo anadhani ndio wanaolinda uwepo wake. Madaraka ni kama wingu linapita angani linaweza kuamua kudondosha matone ya maji kwenye mitaa mitatu na kuacha mitaa kumi kwa makusudi maalum.Yuko tayari kukutana na Rais ili kuongea kila jambo kinagaubaga?