Humphrey Polepole, Rais akihitaji muongee ana kwa ana Ikulu upo tayari?

Mwepesi sana huyu brother Pole Pole.
 
Huyu bibi kazungukwa na mafisadi tupu ya mali za umma
 
Uhakika wa kutokupata bugudha ukiwepo huenda hata wakati huu atakuwa tayari.
 
Kwenda ikulu ni kukitafuta kifo, na yeye sidhani kama ni mjinga kukubali hilo
 
Mbona wewe unataka sana HP akutane na mama?? Kwani aliyoongea kupitia mitandao mama hayasikii??? Kwani unataka akamnong'oneze nini ambacho unadhani hajakizungumza? Kingine HP anasema mama kazungukwa na wahuni. Na hao wahuni kwa Sasa adui yao Mkuu ni huyo HP. Hulioni Hilo? Unadhani ninj kitatokea kama wawili Hawa watakutana ana kwa ana? Huu ushauri wako una malengo mabaya zaidi na ambayo yanalenga kulinda wale wahuni na kumuumiza anayewataja wazi
 
''ujihuzuru'' ndiyo nini? Kwani Polepole anachozungumza sasa hivi anatumia lugha ambayo haieleweki mpaka aende ikulu ndiyo ataeleweka?
 
Kwani Rais hajamsikiliza kwenye video au kusoma madai ya Polepole hadi wakutane uso kwa macho?
 
Binafsi sishauri aende kuonana ana kwa ana na rais, atapotea live.
CCM ya miaka 10 ya sasa haiwezi kukabiliana kwa hoja. Wao ni kuteka kuuwa, kupoteza, asijaribu kabsaaa. Kwani ujumbe unafika.
 
Binafsi sishauri aende kuonana ana kwa ana na rais, atapotea live.
CCM ya miaka 10 ya sasa haiwezi kukabiliana kwa hoja. Wao ni kuteka kuuwa, kupoteza, asijaribu kabsaaa. Kwani ujumbe unafika.
No, mazingira yataratibiwa vizuri - hakuna haja ya kutia hofu - kutano ni muhimu sababu kuvuana nguo hakulisaidii taifa letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…