Humphrey Polepole, Rais akihitaji muongee ana kwa ana Ikulu upo tayari?

Ufanisi unakuwa mdogo, hapo itakuwa kuitangazia dunia mambo yetu ya ndani

..njia ya mtandao inaokoa muda na gharama.

..hamna shida dunia ikijua mambo yetu kwasababu ni mambo mema ya kupigiwa mfano.
 
Aje kwenye press aulize maswali na kujibiwa live tunaona,

Hatutaki ya gizani.
 
Umefikilia Ulicho Ongea..

SIkatai Mtazamo wako, Ila Kiwango Chako Cha Kufikiri ni Kidogo Sana,

Kwa Mazingira Ya Saivi Mtu Mwenye Akili Timamu awezi Akatoa Ushauri kama Wako Labla Awe Kibaraka wa Wahuni.
 
Sina hata chembe ya ukibaraka - heri wapatanishi mkuu. Wapatanishi siyo lzm wawe na madigrii
 
Tayali amevuliwa hadhi ya ubalozi tena mapema, kinachofuata mtakuja kuniambia ni kuvuliwa uanachama, the next step no body knows
Huoni intervals ya kumvua hadhi ya ubalozi imechukua muda mrefu sana, sio kawaida? Na kumvua uanachama hadi saa hizi bado wapo kwenye majadiliano wanamuogopa
 
Wewe mwache tu huyu Polepole atapetape huko shimoni alikojificha, hoja zimeisha amebaki kuleta historia ya majungu aliokua akifanya.
Hakuna mazungumzo nae sababu hana lolote. Sindano ya anti usaliti inamuingia sawa sawa
 
Umefikilia Ulicho Ongea..

SIkatai Mtazamo wako, Ila Kiwango Chako Cha Kufikiri ni Kidogo Sana,

Kwa Mazingira Ya Saivi Mtu Mwenye Akili Timamu awezi Akatoa Ushauri kama Wako Labla Awe Kibaraka wa Wahuni.
Nchi yetu hatuhitaji mgawanyiko - inahitaji watu wenye utayari wa kupata suluhu mezani.

Rais, pamoja na washauri wake nadhani ni muhimu kusikiliza pia haya yanayopendekezwa na wananchi wake.

Dunia hii inahitaji kuandika historia njema juu yako, inahitaji kukumbuka kwa mema na wema, inahitaji kuweka ktk orodha ya watu hodari na wenye maamuzi binafsi.
 
Ila Pole Pole alijipanga haswa kabla hajajiondoa
 
Unadhani ni Nani Mwenye Shida,

Madam President Au Watu Wanao Mzunguka?
 
Bil
Bila kusahau kumuachia LISSU bila mashati.
 
KATAA WAHUNI, OKOA TANGANYIKA.πŸ“ŒβœοΈ
 
Ili wampotezee πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…