Humphrey Polepole, Rais akihitaji muongee ana kwa ana Ikulu upo tayari?

Kataa wahuni.
 
hahahaaaa.umechekesha kweli.yule jamaa ameshajitengenezea uadui mkubwa sana .nyuki huwa na maklia wanaomlinda.sasa ukitaka kumfikia malkia wa nyuki sijui utafanyeke nyuki wasiukuume
 
hahahaaaa.umechekesha kweli.yule jamaa ameshajitengenezea uadui mkubwa sana .nyuki huwa na maklia wanaomlinda.sasa ukitaka kumfikia malkia wa nyuki sijui utafanyeke nyuki wasiukuume
Ikiratibiwa vizuri hakuna atakayeumiza mwingine - tunatafuta mwanzo mpya na utengamano wa kitaifa.
 
Wewe Shetani akiomba muongee ana kwa ana utakubali?
 
Huyo mama kama alishindwa kuvumilia maneno ya kawaida tu ya Marehemu Ndugai,akili yako inakutuma ana kifua cha kupokea ujumbe wa HP?
Atapokea, naamini watazungumza na juice watakula pamoja
 
Hapana. Huyu ndg namjua uso kwa uso, ni mtu mwema na raia mwema. Mtia nia wa Ubunge jimbo la Buyungu mwaka 2015 na mkubwa wangu wa Chuo kwa darasa moja. Ni mwana CCM mwema na mtu poa tu. Ameleta mada yake kwa nia njema tu ili wadau walijadili.
 
Robert Auko got shot in the Kenyan State House. Only fools dine with tyrants.​
 
Hapana. Huyu ndg namjua uso kwa uso, ni mtu mwema na raia mwema. Mtia nia wa Ubunge jimbo la Buyungu mwaka 2015 na mkubwa wangu wa Chuo kwa darasa moja. Ni mwana CCM mwema na mtu poa tu. Ameleta mada yake kwa nia njema tu ili wadau walijadili.
Asante kwa ufafanuzi!
Hivi sasa Jimbo langu linaitwa Kakonko. Wakati ndugu wanapogombana sisi wajibu wetu ni kuwaweka pamoja - jambo lishindikane kwa bahati mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…