Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole

Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu

Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala

Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Sio rahisi km muda hauijafika...
Ila km muda na majira vimefika hakuna ugumu...na ndipo tumefika hii nchi Mungu Yuko kazini na wengi hawataamini kinachoenda kutokea...huu ni mwanzo tu

Muda,majira, nyakati.....Sina mwanasheria.....ila utajionea Kwa macho

Gwajima anamalizia novena atakuta Bado Kwa moto 🔥

TZ mpya inakuja
 
Huenda kabla sijaondoka kwenye hii Dunia kutokana na Umri, nikapata nafasi ya kushuhudia hayo uyasemayo

Mungu aendelee kutenda
 
Kuna "vyombo" vinatakiwa vijiulize kama vina ulazima wa kuwepo nchini wakati mtu mmoja amegeuza nchi mali yake.Yaani mahakama mmepigiwa simu mna taka kumnyonga mwenzenu kwa ajili ya kulinda wageni?wana ccm tukishapewa elfu 2 2 za chumvi basi hatuwezi uliza maswali magumu no wonder ule utafiti wa 2015 uli onyesha wanachama wa ccm ni wajinga na wazee.
Duh
Huyu gabachori ndo ametuharibia nchi hivi
 
Back
Top Bottom