Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Polepole asingeongea tusingejua hili, Rostam asingejaribu kujitetea...

Rostam mwenyewe anasema mgodi ni wake ila hawajasaini 🤣
 
Polepole mi nashindwa kumwamin sabu naona ktk maneno yake kuna ma gap meng sana yan anaongea vitu ila hawi muwazi anaongea kbsa unaona kuna kitu kimemic

Ni km unasikiza story ya mwanamke alie pigwa na mme wake akijieleza unaona kbsa story inamapungufu “mwanaume amenipiga sasa tueleze bas sababu why akupige, ebu tupe pic nzima
Sasa ndo polepole unaona kbsa anaongea vtu ila kuna vtu vingne ving anaficha
Ila unamuamini Rostam kwamba hana makando kando?

Hivi tujiulize kwanini yeye miaka yote na sio mzee Bakhresa,Mengi, Superdoll, Amasons group, Dewji?
 
Vita ya Tanzania ni maneno na kubanwa kisheria ukiogopa kuutumia kalamu Yako maana yake wewe ni coward Lissu na wengine nje tu ya kuwa wansiasa ni watu waoambanajibkuona mambo yapo sawa au yaelekee kuwa sawa. Uvunjifu wa haki za binadamu mfumo mbovu wa huduma za jamii, mrundikano wa Kodi, yote hayo wewe huyaoni ulitaka nani ayaseme kama wewe unaogopa?
Wengi wanaishia kulalamika humu mitandaoni

Unakumbuka wakati bei ya petrol ina shoot kutoka 1863 wakati wa utawala wa mwisho wa JPM hadi kufika 2357 kabla ya kupanda hadi kufika 3360

Ingekuwa Nchi za wenzetu, wangeandamana hadi Serikali utenge ruzuku kufidia hilo ongezeko na hatimaye bei ishuke tena

Huku tunaishia kulalamika mitandaoni kama hivi, baada ya Mwezi mmoja tunanyamaza huku watesi wetu wakizidi kununua Ma-Lamborghini
 
Back
Top Bottom