minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Afanyie wapi wakati kila kitu wezi wameiba ataitwa kwa ajili ya nini kwa mfano ?Na wewe hutaki pesa au? Si ufanye hayo uitwe ikulu na Marais?
Afanyie wapi wakati kila kitu wezi wameiba ataitwa kwa ajili ya nini kwa mfano ?Na wewe hutaki pesa au? Si ufanye hayo uitwe ikulu na Marais?
Kama una taarifa unazijua zaidi na Pole Pole labda hazijui sawa sawa si uziweke hapa ili tulitibu taifa hili dhidi ya uhuni? 🤔
Vetting za wawekezaji ziko wazi, lkn kuna incentives kibao..walishindwaje kulipa suppliers, hakuna benki inakukopesha bila wa uwekezaji wako kuwa na uhakika wa soko la bidhaa zako...kwa hiyo yeye rostam huwa yuko standby kununua makampuni yanayofeli..? maneno yako hayana uhalisia!Haijalishi ni mahakama ipi, maana ilikuwa ni kweli Tancoal anadaiwa na kweli Caspian alikuwa anafanya hizo kazi na alikuwa halipwi na mikataba Iko wazi.
Mhusika Tancoal hakuwa akidaiwa na Caspian tu alidaiwa na makampuni mengi yaliyokuwa yanatoa huduma na alikuwa hana uwezo wa kulipa, sasa hapo unataka rule out ya namna gani.
Mbona alivirudisha na walikuwa wanaendelea kunyosha nchi kazi ya kunyosha nchi ilikuwa bado sana kukamilika ...nchi ya tz ikinyoka itachukua miaka 8 tu kuondoka kabisa kwenye umasikini baada ya nchi kunyoka....ROSTAM AZIZI ALITAKIWA KUULIWA HARAKA SANA NA FAMILIA YAKE YOTE NA SINGASINGA NA RUGEMALILA NK kosa kubwa sana alilifanya JPM kama angesikia ushauri wangu wa kumuondoa samia kwenye umakamu wa Urais na kumuua ROSTAM AZIZI taifa lingepona...Kwanini hukuyasema awali ukiwa humohumo ccm na kuvirudisha vyote?
Unampa moyo ama una mvunja moyo? Halafu yeye kasema vita ni rahisi? Au wewe ni sehemu ya juhudi ya kumvunja moyo?Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole
Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu
Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala
Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Kwa hiyo soko la coal ni ulaya peke yake..india, china? kwani lazima kuuza, unaingiaje kwenye biashara isiyotabirika..?40% hisa za Serikali bado zipo.
60% za muwekezaji ndio mali ya Caspian/Taifa.
Biashara ya makaa ya mawe imeanguka soko linasuasua wateja wa manati na Bei ndogo.
Gharama za uchimbaji ni kubwa na mahitaji ya soko ni volume na ili upate volume kubwa lazima uweke hela nyingi.
Hata Caspian/Taifa mwenyewe anasuasua site - NENDENI MKAANGALIE UHALISIA HUKO.
Sijui mnaelewa kilichokuwa kinatokea na kinachotokea kwenye biashara ya makaa ya mawe au tumemsikia tu HP basi ndio hivyo hivyo.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Kupigana hii vita sio rahisi MkubwaNina imani mleta bandiko hili wewe ni mkenya ya Tanzania hayakuhusu. Kama yanakuhusu upo upande upi, wa wale vijana uanodai wapo mtandaoni kufifisha maelezo ya Polepole ama upo upande wa kutafuta mbinu ya kuhakikisha mawazo ya Polepole yanaeleweka kwa watanzania wengi ili wachukue hatua stahiki?
Naongeza chachu kwamba hii vita inahitaji kujitoa wote Kwa pamojaUnampa moyo ama una mvunja moyo? Halafu yeye kasema vita ni rahisi? Au wewe ni sehemu ya juhudi ya kumvunja moyo?
Mwelekeo wa soko la makaa ya mawe liko mashakani tangu mwaka 2000 na nchi nyingi zimehamia kwenye nishati safi ya gesi na umeme. HP amedokeza tu kuhusu mradi wa makaa ya mawe Ngaka, huenda leo jikoni akaweka kila kitu hadharani.... Kwa nini wewe unadhani hana analolijua zaidi yako ukizingatia kuwa hili suala liliwahi kujadiliwa Bungeni ?40% hisa za Serikali bado zipo.
60% za muwekezaji ndio mali ya Caspian/Taifa.
Biashara ya makaa ya mawe imeanguka soko linasuasua wateja wa manati na Bei ndogo.
Gharama za uchimbaji ni kubwa na mahitaji ya soko ni volume na ili upate volume kubwa lazima uweke hela nyingi.
Hata Caspian/Taifa mwenyewe anasuasua site - NENDENI MKAANGALIE UHALISIA HUKO.
Sijui mnaelewa kilichokuwa kinatokea na kinachotokea kwenye biashara ya makaa ya mawe au tumemsikia tu HP basi ndio hivyo hivyo.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Laana ya Uonevu kwa Lisu na chadema imeanza kuwatafuna watapata hasara mpaka wafunge huo Mgodi40% hisa za Serikali bado zipo.
60% za muwekezaji ndio mali ya Caspian/Taifa.
Biashara ya makaa ya mawe imeanguka soko linasuasua wateja wa manati na Bei ndogo.
Gharama za uchimbaji ni kubwa na mahitaji ya soko ni volume na ili upate volume kubwa lazima uweke hela nyingi.
Hata Caspian/Taifa mwenyewe anasuasua site - NENDENI MKAANGALIE UHALISIA HUKO.
Sijui mnaelewa kilichokuwa kinatokea na kinachotokea kwenye biashara ya makaa ya mawe au tumemsikia tu HP basi ndio hivyo hivyo.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Umesema kweli Mkuu, changamoto yetu ni kukosa mshikamano kwenye mapambano ya hakiWe jamaa ukweli na haki havijawahi kushindwa na hila.
Kushikilia na kutetea hila, ubaya na uongo inahitaji nguvu nyingi sana kitu ambacho binadamu hawezi kuwanazo kilasiku.
Ukweli na haki haviitaji nguvu nyingi kujitetea,haki na ukweli vinaonekana wazi kiasi cha kuwa fanya wenye kuhangaika kuvifunika kuwa na mawazo na kazingumu yakufanya kwa mudamchache tu kabla ya kushindwa kuvizuiya.
Hadi wezi wanaiba kwani wewe ulikuwa huzioni ukamatie fursa?Afanyie wapi wakati kila kitu wezi wameiba ataitwa kwa ajili ya nini kwa mfano ?
..hakuna ikulu inaita watakatisha pesa na madalali bado ikaitwa ikulu, hatuna ikulu hapa..Na wewe hutaki pesa au? Si ufanye hayo uitwe ikulu na Marais?
Katika andiko langu kuna tusi? Atuwekee docs za umiliki za awali na sasa. Sitapingana na facts.Hizo propaganda za kishamba peleka kwa wajinga wenzako hapa tunajadili wizi wako na boss wako Rostam
Kwamba Rostam ametakatisha pesa Zambia, Kenya,Tanzania nk ambako ameitwa ikulu au?..hakuna ikulu inaita watakatisha pesa na madalali bado ikaitwa ikulu, hatuna ikulu hapa..