Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Kwa sasa mimi ni kibenteni wa mamaako yeye ndo ananila tuBado kukula wewe tu
Kwa sasa mimi ni kibenteni wa mamaako yeye ndo ananila tuBado kukula wewe tu
Mmbombo nnunuMbombo ngafu
Ndo maana pole2 kasema kosa lao ilikuwa kuamini watabadirika...Magufuli na Polepole walikuwa na nafasi ya kuifanyia total reform ccm ikawa mpya kabisa,lakini badala yake wakaanza kukimbizana na Lissu..wakiyasahau maadui yaliyo jazana ndani ya CCM
Ahueni ipi ? Maana ndo imerudisha wahuni wote wamerudiKifo cha Jiwe ilikuwa ahueni kwa Taifa. Ila hawa wahuni nao wamekuwa tatizo sasa
Wangebadilika angali hujaisuka upya ccm?Ndo maana pole2 kasema kosa lao ilikuwa kuamini watabadirika...
Amejua kosa lake
Na mbaya zaidi wakamuondoa
Duh ,aisee imeniuma snUsimsikie kakomalia sana
Nishati safi
Nishati safi
Mzabuni Mkuu ukiuliza nani? Rost Tamu Aziz na Taifa Gesi
Jeshi linataka kutengeneza Mkaa Mbadala kwa kutumia Makaa ya Mawe wametangaza majuzi hapa alieshinda zabuni ya kuwauzia Makaa ya Mawe ni nani? Rost Tamu Aziz
To yeye huwezi ukamkuta huku
Ndo kosa sa amejuaWangebadilika angali hujaisuka upya ccm?
Yaani SS nimeelewa nchimbi nae kumbe duhLisu alikamatwa Songea baada ya kuongelea mgodi wa Rostam na akina Nchimbi kwa lugha nyepesi aligusa masilahi yao huko, watesi wake akina Mbowe na ibilisi wengine wa ccm walitumia fursa hiyo kumtengenezea kesi ya uhaini ili kumziba mdomo, polepole anazo taarifa zote atakuja kuzianika wazi
😛Nimecheka sana, utafikiri kama humjui. Sasa unafikiri ni nani ambaye anaweza kuzuia 5bn zirudishwe na hiyo deal apewe Gabachori kwa issue kubwa kama hiyo?Huyo aliepiga simu kutoka juu Rostam apewe mgodi wa makaa ya mawe ni nani?
Polepole kesho funguka tunajua unamjua japo hapa hujamtaja.
You are absolutely right.Akili ya kawaida inaniambia Rostam hawezi kuwa anafaidika peke yake, bali kuna wanasiasa wako nyuma yake na ndio anashirikiana nao.
Ohhh ok, ndie yule anayekusaga?Kwa sasa mimi ni kibenteni wa mamaako yeye ndo ananila tu
Polepole mjanja anajua kucheza ngoma na Nyumbu😆😆😆😆Polepole muongo, rostam alianza kununua magazeti ya jenerali ulimwengu 'rai' akaja malizia channel ten,kisha CCM wakainunua channel ten, ulimwengu alianzisha raia mwema
Serikali inapata wapi nguvu ya kukanusha wakati aliyoyasema H.Polepole ni kweli tupuKwa kauli hii ya Polepole, Serikali inapaswa kujitokeza na kujibu shutuma hizi; la sivyo, Serikali kupitia kiongozi wake mkuu, yaani Rais, imeshiriki moja kwa moja katika wizi na ufisadi wa mali za umma. Serikali itoe tamko la wazi, aidha kukanusha au kukubaliana na shutuma hizi.
TISS wenyewe wamekunywa maji ya kijaniDu hatari sana halafu unasema KUNA TISS
Well said..Magufuli na Polepole walikuwa na nafasi ya kuifanyia total reform ccm ikawa mpya kabisa,lakini badala yake wakaanza kukimbizana na Lissu..wakiyasahau maadui yaliyo jazana ndani ya CCM