Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole

Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu

Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala

Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Hii vita inapiganwa na MUNGU kwa niaba ya WaTanganyika! Usiogope!
 
Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole

Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu

Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala

Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Kwa hiyo kwa sababu hawezi kushinda vita inatakiwa akae kimya sio daah..
 
Nimelia baada ya kujua kumbe wahun wamenunua share na kodi haijaliowa. Sie waagiza mikweche tunachajiwa kwa ajili ya dawa za ukimwi.
Wamechukua hela kupitia dawa ya Ukimwi ili watu wasipige kelele ila ni hela zao za kula hizo ni kama kwenye ule mkeka wa TRA ipo kodi ya Railway Levi ni reli ipi ilijengwa au kukarabatiwa toka miaka waliyoiweka?
 
ibilisi wa ccm wamekula njama na mbowe wamuonee Lisu afie jela wamfurahishe Mbowe binafsi kwa kumrejesha chadema kwa njia haramu za kishetani kama Lipumba wa CUF, sasa wanajuuta kumsikiliza Mbowe wanahaha jinsi ya kujinasua kwani kadri siku zinavyokwenda ndiyo wanazidi kuvuliwa nguo
 
Pamoja na maneno mazito ya mtu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti kama pole pole, lakini huoni vyombo vya ulinzi na usalama vikichukua hatua yoyote walau. Basi hata watoe kanusho kwa kutumia press angalau wananchi tujue wanajali au hawajafungwa mikono/midomo na wanamtandao.

Sasa vyombo vyetu vinawajibika kwa nani na kwa wakati gani kama? Kama madai ya Polepole hayapewi uzito unaostahili, kuna whistle blower gani ataongea hawa jamaa wachukue hatua?
Yenyewe yatakuwa ni sehemu ya majizi.
 
Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole

Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu

Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala

Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Hakuna yeyote alielipwa ni upumbavu tu watanzania.. kutetea wahuni wakihisi nao watanufauka sijui watanufauka kinamna gani..
 
Polepole muongo, rostam alianza kununua magazeti ya jenerali ulimwengu 'rai' akaja malizia channel ten,kisha CCM wakainunua channel ten, ulimwengu alianzisha raia mwema
Wewe unadhani lengo la kununua hayo magazeti ni nini?? Je bado yanafanya kazi?? JIONGEZE
 
Kama kuna kosa watalijutia ccm milele ni kosa la kumsogeza Mbowe kuwa mmoja wa chawaccm na mshauri wa mama kaburu mkoloni toka Zanzibar, Mbowe ana chuki binafsi na Lisu na pia ana Roho mbaya sana kwa wale wote waliopata kuwania Uenyekiti wa chadema huko nyuma ikiwemo Zito kabwe ambaye alimwekea Sumu akitaka kumuua kama alivyofanikisha kumuua Chacha wangwe kwa kumpandikizia Deus malya, ambae alitekeleza unyama wote,Mbowe na chawa wake Kileo mzee wa Tindikali ambaye kupachikwa Chauma ubwabwa kumkakati ni watu hatari sana ktk maisha ya Lisu,ccm zindukeni mkataeni Mbowe licha ya kuwafanyia udalali wa kuidhoofisha chadema
 
Polepole muongo, rostam alianza kununua magazeti ya jenerali ulimwengu 'rai' akaja malizia channel ten,kisha CCM wakainunua channel ten, ulimwengu alianzisha raia mwema
Uwe unakuwa na akili wewe msiwe mnatetea ujinga kisa mnabugia keki ya Taifa uhuni wa Rostamu si waleo

Kuanzia SHIVACOM zile Vocha za jero jero ! Kuja kwenye biashara za magendo yeye na Diodorys Kamala


Tuna mengi sana

Britanicca
 
Kwanini hukuyasema awali ukiwa humohumo ccm na kuvirudisha vyote?
Kipindi hicho wewe hukuwa umewabambikia kesi za uhaini chadema, hukuwa ukiwateka kuwapora luzuku kwa njia haramu za kishetani na pia hupaswi kumpangia mda wa kusema mabaya ya maboss wako
 
Polepole muongo, rostam alianza kununua magazeti ya jenerali ulimwengu 'rai' akaja malizia channel ten,kisha CCM wakainunua channel ten, ulimwengu alianzisha raia mwema
Wewe ndiyo muongo acha kujitoa fahamu kisa ni mnufaika wa haya mateso kwa chadema
 
Nimesikitika
Kumbe ndo maana Alikuwa wa kwanza kujifanya anamjibu pole2🙌
Ila nchii imeliwa mno, too much aisee,na Bado watu hawaridhiki..

Tutajua tu waliomuua Magufuli,aisee..
Kuna jambo zito linakuja kwenye hii nchi haya mambo yamefika mwisho ..
Chawa nawakumbusha tunzeni pesa vzr
Kifo cha Jiwe ilikuwa ahueni kwa Taifa. Ila hawa wahuni nao wamekuwa tatizo sasa
 
Hapana aisee
Mungu ajibu tu,ikimpendeza apite nae tu no way ..
SS tunapata picha kamili who is behind Lissu kuwa huko akisumbuliwa..
Lisu alikamatwa Songea baada ya kuongelea mgodi wa Rostam na akina Nchimbi kwa lugha nyepesi aligusa masilahi yao huko, watesi wake akina Mbowe na ibilisi wengine wa ccm walitumia fursa hiyo kumtengenezea kesi ya uhaini ili kumziba mdomo, polepole anazo taarifa zote atakuja kuzianika wazi
 
Uchaguzi usogezwe mbele la sinyo muungano ufe Tanganyika iwe huru ifanye Uchaguzi wake ulio huru na haki kwa kuwashirikisha chadema
 
Duh, mambo mengine Polepole anadanganya sasa, hapo ndio ninapogundua kuna vitu pia huyu Polepole hana taarifa sahihi.

Mgodi wa makaa ya mawe mahakama ndio iliyoamua baada ya kampuni ya Caspian kuwa wanamdai Tancoal kiasi kikubwa cha hela baada ya Tancoal kupewa huduma kwa muda mrefu na kushindwa kulipa deni, sio Caspian tu, Tancoal walikuwa wanamadeni mengi baada ya kupewa huduma na kushindwa kulipa madeni na makampuni tofautitofauti.

Caspian alikuwa anatoa huduma ya haulage pale na alipeleka mitambo yake kufanya kazi kwa muda mrefu, Tancoal akawa na financial crisis na kushindwa kulipa madeni.
Kesi ikaenda mahakamani deni likaonekana ni kubwa Tancoal hawezi kulipa ikabidi wakubaliane Tancoal amaliziwe hela ili abwage hisa zake.

Tuwe tunatafuta taarifa sahihi ya baadhi ya mambo pamoja na ugomvi wetu na CCM.
Yale yale ya uongo wa Lissu na kifo cha mlinzi wa JPM pale BBC au uongo wa Dr Slaa na bomba la gas lililopita baharini kwenda Dubai.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Back
Top Bottom