Huwa hakuna mabya yasiyo na mwisho na mwisho mwa ubaya ni Aibu kubwaHii vita inapiganwa na MUNGU kwa niaba ya WaTanganyika! Usiogope!
Huwa hakuna mabya yasiyo na mwisho na mwisho mwa ubaya ni Aibu kubwaHii vita inapiganwa na MUNGU kwa niaba ya WaTanganyika! Usiogope!
Kwahiyo akae kimya?alaf kabisa mtoto wa kiume unaandika umejikatia tamaa..kweli we have a long way to go...Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole
Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu
Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala
Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Mzee wewe ndiyo huna Taarifa sahihi yapo ya ndani usiyoyajua na huo mgodi una matawi yake na yote Rostam kayachukua kienyeji kinyemela ingawa pengine hajakuambia wewe msiri wake lakini kaa ukijua kuwa vipo vingi huna taafa sahihiDuh, mambo mengine Polepole anadanganya sasa, hapo ndio ninapogundua kuna vitu pia huyu Polepole hana taarifa sahihi.
Mgodi wa makaa ya mawe mahakama ndio iliyoamua baada ya kampuni ya Caspian kuwa wanamdai Tancoal kiasi kikubwa cha hela baada ya Tancoal kupewa huduma kwa muda mrefu na kushindwa kulipa deni, sio Caspian tu, Tancoal walikuwa wanamadeni mengi baada ya kupewa huduma na kushindwa kulipa madeni na makampuni tofautitofauti.
Caspian alikuwa anatoa huduma ya haulage pale na alipeleka mitambo yake kufanya kazi kwa muda mrefu, Tancoal akawa na financial crisis na kushindwa kulipa madeni.
Kesi ikaenda mahakamani deni likaonekana ni kubwa Tancoal hawezi kulipa ikabidi wakubaliane Tancoal amaliziwe hela ili abwage hisa zake.
Tuwe tunatafuta taarifa sahihi ya baadhi ya mambo pamoja na ugomvi wetu na CCM.
Yale yale ya uongo wa Lissu na kifo cha mlinzi wa JPM pale BBC au uongo wa Dr Slaa na bomba la gas lililopita baharini kwenda Dubai.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Watu wapenda haki mapinduzi ya fikra wakikusikiliza wewe Nchi itaoza Asubuhi mapema kwani hutaki watu wakatae maovu wizi kisa utawabambikia kesi za uhaini kwa njia za kishetaniSio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole
Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu
Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala
Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Magari yenyewe hayana udhibiti wa TRA gari zisizo na namba wala bina zinatembea hovyo mitaani show room mpaka sebureni kwa watuJamaa wanatuibia hiyo Nchi harafu wazee wa kazi kila kukicha wanaongeza kodi kama vile Nchi haina rasilimali yeyote baadae TRA mnakuja kutangaza mmevunja rekodi kwa kodi za kupokonya wananchi.
Yani kanishangaza sanaWatu wapenda haki mapinduzi ya fikra wakikusikiliza wewe Nchi itaoza Asubuhi mapema kwani hutaki watu wakatae maovu wizi kisa utawabambikia kesi za uhaini kwa njia za kishetani
Ujue polepole tokea aje hapa America anaona kama yeye yupo mbali pengine ndiyo maana hujisahau na kusema nyie, lakini kwa kuwa yupo huku jukwani nina imani atasoma ushauri wako na kuufanyia kaziPolepole Nakufagilia sana lakini kila siku hukosi KUNIUDHI, kwa Mfano kwenye hii video ,Unaongea pointi nzuri sana, Lakini kwanini unasema " MIYE " ??????????? Badala ya " MIMI " ? ????? Rekebisha huu Upuuzi wa ZENJI, Mwanaume Mkamilifu hasemi " MIYE " F.u.ck this......
lakini endelea na kazi yako....
Chawaccm watesi watekaji wengi huvuta Bangi kabla ya kuja mitandaoni ndiyo maana hutetea maovu uonevu wa ibilisi wa ccm pasipo kutafakari kabsaYani kanishangaza sana
Maelezo yako kama yanaeleweka hivi. Ni Caspian au Taifa?Duh, mambo mengine Polepole anadanganya sasa, hapo ndio ninapogundua kuna vitu pia huyu Polepole hana taarifa sahihi.
Mgodi wa makaa ya mawe mahakama ndio iliyoamua baada ya kampuni ya Caspian kuwa wanamdai Tancoal kiasi kikubwa cha hela baada ya Tancoal kupewa huduma kwa muda mrefu na kushindwa kulipa deni, sio Caspian tu, Tancoal walikuwa wanamadeni mengi baada ya kupewa huduma na kushindwa kulipa madeni na makampuni tofautitofauti.
Caspian alikuwa anatoa huduma ya haulage pale na alipeleka mitambo yake kufanya kazi kwa muda mrefu, Tancoal akawa na financial crisis na kushindwa kulipa madeni.
Kesi ikaenda mahakamani deni likaonekana ni kubwa Tancoal hawezi kulipa ikabidi wakubaliane Tancoal amaliziwe hela ili abwage hisa zake.
Tuwe tunatafuta taarifa sahihi ya baadhi ya mambo pamoja na ugomvi wetu na CCM.
Yale yale ya uongo wa Lissu na kifo cha mlinzi wa JPM pale BBC au uongo wa Dr Slaa na bomba la gas lililopita baharini kwenda Dubai.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Mzee wewe ndiyo huna Taarifa sahihi yapo ya ndani usiyoyajua na huo mgodi una matawi yake na yote Rostam kayachukua kienyeji kinyemela ingawa pengine hajakuambia wewe msiri wake lakini kaa ukijua kuwa vipo vingi huna taafa sahihi
Hakuna Uzalendo ndani ya TISS kwani wangeshafanya jambo. Wako kila mahali lkn kama vile nao ni sehemu ya Wahuni.Du hatari sana halafu unasema KUNA TISS
Hahaha. Ngoja nikionanana nao nitawaambia wapite, labda hawajapita huku.Hapo Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah watakifanya hawaoni hii mada!
Linatafutiwa tu justification.....Ila mbuzi ameelekea kiblaNchi hii kuna jambo linakuja.Ni swala la muda tu.
Maelezo yako kama yanaeleweka hivi. Ni Caspian au Taifa?