Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

This country is fucked up.
Rost Tamu Aziz huko alipo muda huu anavuta Embassy nyingi sana bila kumaliza Vishungi anasikilizia kesho Slow Slow ataongea nini tena au aanzie wapi kumjibu Uongo maana alichoongea Slow Slow ni ukweli na Sa100 akimjibu fyongo Slow Slow kwa taarabu zake za mipasho km alivyomjibu Gwajima atapigwa bomba moja akaangukie JKCI ndio maana aliwaambia km hamfahamu awaulize wanaCCM wa karibu Slow Slow anaweza kufanya jambo gani ndani CCM
 
Mimi nilivyoona tu ccm inachangiwa na wale matajiri nikapata ukakasi,hiki ni chama cha wakulima na wafanyakazi inakuwaje watu waliopatwa na tuhuma za ufisadi wa mabiloni ndio wapo mstari wa mbele kukichangia,kumbe wahuni wamekiteka chama
 
Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole

Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu

Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala

Hata humu JF pitia majukwaani utajionea

Hakuna aliyesafishika
 
Polepole muongo, rostam alianza kununua magazeti ya jenerali ulimwengu 'rai' akaja malizia channel ten,kisha CCM wakainunua channel ten, ulimwengu alianzisha raia mwema
Tuambie na habari za Rostam azizi kumuua yule mxungu aliye kuja kuchunguza UJANGILI kwa kumtungua kwenye helicopter na zile shehena za siraha walizo kamatwa nazo bunduki zaidi ya 100
 
Polepole ana depression flan! Hawa watu wanajificha ktk kivuli cha uzalendo pori ni wa kuwaogopa sana! Nawajua kwa kina kuanzia wale tuliowahi kuwaita mitume 12 wakati uleee...hao jamaa wakiwa jikoni ni walaji wazuri sana wa 'steki'. Msiwaamini.
Basi tuambie wewe tukuamin saiv chanel ten ni ya nani,pamoja na mgodi alioutaja polepole
 
Rost Tamu Aziz huko alipo muda huu anavuta Embassy nyingi sana bila kumaliza Vishungi anasikilizia kesho Slow Slow ataongea nini tena au aanzie wapi kumjibu Uongo maana alichoongea Slow Slow ni ukweli na Sa100 akimjibu fyongo Slow Slow kwa taarabu zake za mipasho km alivyomjibu Gwajima atapigwa bomba moja akaangukie JKCI ndio maana aliwaambia km hamfahamu awaulize wanaCCM wa karibu Slow Slow anaweza kufanya jambo gani ndani CCM
Duh noma sn, na hakuna mwaka zmenunuliwa rolls royce na ferrari, mabugatti kama awamu ya huyu bibi, uko masaki balaa tupu wakuu ukipita page ya instagram ya KHR balaa zito, kweli wahuni washateka nchi aisee.
 
Polepole ana depression flan! Hawa watu wanajificha ktk kivuli cha uzalendo pori ni wa kuwaogopa sana! Nawajua kwa kina kuanzia wale tuliowahi kuwaita mitume 12 wakati uleee...hao jamaa wakiwa jikoni ni walaji wazuri sana wa 'steki'. Msiwaamini.
Tuwaamini akina nani sasaaa?
 
Polepole ana depression flan! Hawa watu wanajificha ktk kivuli cha uzalendo pori ni wa kuwaogopa sana! Nawajua kwa kina kuanzia wale tuliowahi kuwaita mitume 12 wakati uleee...hao jamaa wakiwa jikoni ni walaji wazuri sana wa 'steki'. Msiwaamini.
Walaji wazuri wa steki'Tusiwaamini!
 
Polepole ana depression flan! Hawa watu wanajificha ktk kivuli cha uzalendo pori ni wa kuwaogopa sana! Nawajua kwa kina kuanzia wale tuliowahi kuwaita mitume 12 wakati uleee...hao jamaa wakiwa jikoni ni walaji wazuri sana wa 'steki'. Msiwaamini.
Miaka ile Rostam anajivua gamba CCM kwa tuhuma za ufisadi, ulikuwa umezaliwa ama Baba yako alikuwa hajafika kileleni ukawepo Duniani ?
 
Nimesikitika
Kumbe ndo maana Alikuwa wa kwanza kujifanya anamjibu pole2🙌
Ila nchii imeliwa mno, too much aisee,na Bado watu hawaridhiki..

Tutajua tu waliomuua Magufuli,aisee..
Kuna jambo zito linakuja kwenye hii nchi haya mambo yamefika mwisho ..
Chawa nawakumbusha tunzeni pesa vzr
Chawa Lukas Mwashambwa na nduguye tlaahtlaah,chiembe,voice variable!
 
Kuna "vyombo" vinatakiwa vijiulize kama vina ulazima wa kuwepo nchini wakati mtu mmoja amegeuza nchi mali yake.Yaani mahakama mmepigiwa simu mna taka kumnyonga mwenzenu kwa ajili ya kulinda wageni?wana ccm tukishapewa elfu 2 2 za chumvi basi hatuwezi uliza maswali magumu no wonder ule utafiti wa 2015 uli onyesha wanachama wa ccm ni wajinga na wazee.
Sasa kamawatu ndio dizaini ya Akili za Lukas mwashambwa na tlaahtlaah,inategemea Nini!
 
Rost Tamu Aziz huko alipo muda huu anavuta Embassy nyingi sana bila kumaliza Vishungi anasikilizia kesho Slow Slow ataongea nini tena au aanzie wapi kumjibu Uongo maana alichoongea Slow Slow ni ukweli na Sa100 akimjibu fyongo Slow Slow kwa taarabu zake za mipasho km alivyomjibu Gwajima atapigwa bomba moja akaangukie JKCI ndio maana aliwaambia km hamfahamu awaulize wanaCCM wa karibu Slow Slow anaweza kufanya jambo gani ndani CCM
Utasikia anafungua kesi dhidi ya Polepole ,subiri uone
 
Polepole ana depression flan! Hawa watu wanajificha ktk kivuli cha uzalendo pori ni wa kuwaogopa sana! Nawajua kwa kina kuanzia wale tuliowahi kuwaita mitume 12 wakati uleee...hao jamaa wakiwa jikoni ni walaji wazuri sana wa 'steki'. Msiwaamini.
Kwa hoja zinazoshushwa,kutowaamini sio rahisi kama ulivyoandika hapa!
 
Back
Top Bottom