Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Akili ya kawaida inaniambia Rostam hawezi kuwa anafaidika peke yake, bali kuna wanasiasa wako nyuma yake na ndio anashirikiana nao.
Naamini hawajuhi walifanyalo wengi wao. Ila wakielimishwa kuwa chama kimetekwa watastuka.Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole
Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu
Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala
Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Sio rahisi kuwaelimisha watu wenye njaaNaamini hawajuhi walifanyalo wengi wao. Ila wakielimishwa kuwa chama kimetekwa watastuka.
Polepole muongo, rostam alianza kununua magazeti ya jenerali ulimwengu 'rai' akaja malizia channel ten,kisha CCM wakainunua channel ten, ulimwengu alianzisha raia mwemaKumbe ndo hii imeleta kizaazaa ina ukweli ndani yake sio kwa purukushani hizi wahuni sio watu wazuri wapigwe vita kokote waliko wasibaki salama
🙏🙏Ameeen
Ina sikitisha,lakini kinacho sikitisha zaidi ni hawa wenzetu ambao wametusaliti watanganyika.Duh
Huyu gabachori ndo ametuharibia nchi hivi
Mjinga wewe. Uliza upewe habari.Polepole muongo, rostam alianza kununua magazeti ya jenerali ulimwengu 'rai' akaja malizia channel ten,kisha CCM wakainunua channel ten, ulimwengu alianzisha raia mwema
Rostam alikimbilia kenya,akatulia,magu akamrudishaAkili ya kawaida inaniambia Rostam hawezi kuwa anafaidika peke yake, bali kuna wanasiasa wako nyuma yake na ndio anashirikiana nao.
Hizo habari zimejiri nikishuhudia,na aliyekua mkugenzi wa media house aliyonunua rostam toka kwa ulimwengu ni bashe, ulimwengu na raia mwema yake wakahamia kinondoni vijanaMjinga wewe. Uliza upewe habari.
Huyo sio gabachori, ni Mbulushi, wa BaluchistanGabachori Rostam Aziz
SS watachukua hatua mtu Ambae ana sauti juu yao?Pamoja na maneno mazito ya mtu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti kama pole pole, lakini huoni vyombo vya ulinzi na usalama vikichukua hatua yoyote walau. Basi hata watoe kanusho kwa kutumia press angalau wananchi tujue wanajali au hawajafungwa mikono/midomo na wanamtandao.
Sasa vyombo vyetu vinawajibika kwa nani na kwa wakati gani kama? Kama madai ya Polepole hayapewi uzito unaostahili, kuna whistle blower gani ataongea hawa jamaa wachukue hatua?
Samia)/jkHuyo aliepiga simu kutoka juu Rostam apewe mgodi wa makaa ya mawe ni nani?
Polepole kesho funguka tunajua unamjua japo hapa hujamtaja.