Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Huenda kabla sijaondoka kwenye hii Dunia kutokana na Umri, nikapata nafasi ya kushuhudia hayo uyasemayo

Mungu aendelee kutenda
Mungu na akuongezee miaka ya kuishi kama alivyomwongezea mfalme Hezekia. Tunatamani kuona uhuru wa pili wa nchi yetu.
 
Kwa kauli hii ya Polepole, Serikali inapaswa kujitokeza na kujibu shutuma hizi; la sivyo, Serikali kupitia kiongozi wake mkuu, yaani Rais, imeshiriki moja kwa moja katika wizi na ufisadi wa mali za umma. Serikali itoe tamko la wazi, aidha kukanusha au kukubaliana na shutuma hizi.
Msigwa katoka nduki si mtu wakujibu yule amekaa kimya
 
Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole

Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu

Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala

Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Kwahiyo unishauri nini? Watu wake tuu kama wajinga?
 
Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole

Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu

Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala

Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Ni ngumu kwa MTAZAMO wako but sio ngumu kwa mtazamo wa polepole
 
Nimesikitika
Kumbe ndo maana Alikuwa wa kwanza kujifanya anamjibu pole2🙌
Ila nchii imeliwa mno, too much aisee,na Bado watu hawaridhiki..

Tutajua tu waliomuua Magufuli,aisee..
Kuna jambo zito linakuja kwenye hii nchi haya mambo yamefika mwisho ..
Chawa nawakumbusha tunzeni pesa vzr
Usimsikie kakomalia sana

Nishati safi
Nishati safi

Mzabuni Mkuu ukiuliza nani? Rost Tamu Aziz na Taifa Gesi

Jeshi linataka kutengeneza Mkaa Mbadala kwa kutumia Makaa ya Mawe wametangaza majuzi hapa alieshinda zabuni ya kuwauzia Makaa ya Mawe ni nani? Rost Tamu Aziz

To yeye huwezi ukamkuta huku
 
Simu moja ilibadilisha mchezo. Alafu data/mafile ya kule FCC yamefanyiwa backup
 
Huyo aliepiga simu kutoka juu Rostam apewe mgodi wa makaa ya mawe ni nani?

Polepole kesho funguka tunajua unamjua japo hapa hujamtaja.
Anaitwa Russsel Bufalino au unaweza kumuita Vito Corleone, Mr. BORN TOWN Mzee wa Kuchekea Kwapani, yule ambaye Familia yake yote ipo Bungeni kamata Bunge, kamata Mahakama, kamata Jeshi, kamata Jeshi la Polisi, kamata TISS Usalama wa Taifa wote watie mfukoni unateua unatengua, kamata Serikali zote Bara na Visiwani kamata zitie mfukoni, wote watie mfukoni wote Majaji na Mahakimu tia mfukoni then hakuna wa kumwambia kitu labda afe kesho na kabla hajafa atahakikisha anatengeneza Mtandao ambao hautokufa Milele Tanzania watakua wanaimiliki wao tu sio mtu mwingine yoyote, hio ndio maana halisi ya Wana Mtandao
 
Kuna watu wamekata tamaa hadi wanaboa
Na anaboa kweli.. Kuna ile nukuu ya Nelson Mandela, kwa tafsiri isiyo rasmi akisema, " Kama wewe unaona haiwezekani, basi usiwazuie wale wanao ona inawezekana"

Huyo wa kujiita Grahams kama amekata tamaa akae kimya aache wanao ona na kuamini inawezekana.
 
Kwa kauli hii ya Polepole, Serikali inapaswa kujitokeza na kujibu shutuma hizi; la sivyo, Serikali kupitia kiongozi wake mkuu, yaani Rais, imeshiriki moja kwa moja katika wizi na ufisadi wa mali za umma. Serikali itoe tamko la wazi, aidha kukanusha au kukubaliana na shutuma hizi.
Chura Binti Kiziwi hatoongea kitu mpaka siku ile anaapishwa kuwa Malkia wa Sheba au anaenda chini futi 6, kashaamua liwalo na liwe wakitaka kumtanguliza wamtangulize tu ila kala bunda kwa hio Brother Slow Slow yeye ashushe tu vyuma piga kwenye mishono
 
Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole

Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu

Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala

Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Kina tlaahtlaah na Lukas Mwashambwa na chiembe,Mtoto wa shule nk,Watajuta kwa uchawa wao,Hakibitasimama
 
Hizo habari zimejiri nikishuhudia,na aliyekua mkugenzi wa media house aliyonunua rostam toka kwa ulimwengu ni bashe, ulimwengu na raia mwema yake wakahamia kinondoni vijana
Rostam alinunua "Habari Corparation" kukufisha media hii kuichallenge serikati ya kikwete kuibua ufisadi,baada ya hapo waandishi nguli km Joseph Mihangwa,Johnson Mbwambo na Ulimwengu mwenyewe wakagoma kuandika habari kwa maelekezo ya Rostam... hii ndio sababu ya kuanzia Raia Mwema..
 
Anaandika Humprey Polepole kwenye Mtandao wa Instagram

Kisa cha wana wa Israeli waliotaka kurudi Misri wakiwa jangwani katika safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Leo Channel 10, TV ya Chama imempa heshima Rostam Aziz kutoa nukuu baada ya taarifa ya habari akinibananga mie, nimeona niwakumbushe Channel 10 tulikotoka nao.

Rostam ni sehemu ya CCM Mtandao, genge la kihuni linalo bagaza na kubananga CCM, Serikali, Bunge, Mahakama, Nchi na Taifa letu. Ifike pahala sote tuseme kataa wahuni

View attachment 3447453

===
Baadhi ya mambo aliyozungumza;

Akishishirikiana na wanamtandao wengine, Rostam Aziz alipora chaneli ten inayimilikiwa na chama cha mapinduzi hadi pale Hayati Magufuli apochunguza na kuirudisha kwa CCM.

Ni Mfanyabiadshara dalali, ameuziwa Mgodi wa Madini kinyemelea pasipo kufuata sheria.

Ni mfadhiri mkuu wa kundi la wanamtandao.

Ana kashfa kila kona, ndiyo maana miaka ya 2011 alijivua gamba.

Ni mbagazaji mkuu wa nchi ya Tanzania, Serikali na CCM.
Polepole ana depression flan! Hawa watu wanajificha ktk kivuli cha uzalendo pori ni wa kuwaogopa sana! Nawajua kwa kina kuanzia wale tuliowahi kuwaita mitume 12 wakati uleee...hao jamaa wakiwa jikoni ni walaji wazuri sana wa 'steki'. Msiwaamini.
 
Back
Top Bottom