Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Kwa sasa largest producer wa Makaa ya mawe Tanzania ni Ruvuma Coal na ndio mwenye soko la uhakika alilolipata baada ya vita ya Russia na Ukraine na watu wa Ulaya wakaanza kuwa na mashaka na supply ya Mrusi wakaanza kujihami kustock Coal ili kurun Coal plants zao ambazo walizifunga, Kwa sasa zote ziko repaired na ready to go incase kuna shida kwenye source rahisi ya gas.

Coal nyingi inayokwenda Ulaya kwasasa ni stock kujiandaa na lolote ndio maana mliona biashara ya makaa ilichangamka kipindi fulani.

Kampuni inayoitwa Tancoal ilishake miaka fulani na kufikia kushindwa kuwalipa watoa huduma wake akiwemo main contractor aliyekuwa anafanya load and haul hapo Caspian (Taifa) ambaye ndiye alikuwa na scope kubwa ya kazi hapo mgodini..
Hata mkandarasi aliyekuwepo hapo kabla ya Caspian (Taifa) naye anamdai Tancoal.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Magari yenyewe hayana udhibiti wa TRA gari zisizo na namba wala bina zinatembea hovyo mitaani show room mpaka sebureni kwa watu
TRA wanatengeneza mazingira watu wakwepe kodi ili wafanyakazi wapate ulaji ni ngumu sana kuongeza kodi kwenye gari lenye 40m kodi wakati hilo gari linanunuliwa Tsh 16m hao jamaa wanatengeza mazingira ya kuiba kila kukicha na si kujenga Nchi.
 
Inawezekana watanzania kweli tuna shida na CCM na watawala, lakini tuwe makini sana na baadhi ya watu maana naona kuna uongo na manipulations nyingi sana zinazoendelea.

HP, Sugu na Gwajima hawana uaminifu wowote wakuwasemea na kuwapigania watanzania, na haya ndio hufanya harakati zakuitoa CCM kila siku kurudi nyuma, maana tunaowaamini wajinga kila siku.

TL ni mzalendo wa kweli na kweli ana nia ya dhati, shida yake naye hayuko well informed kwenye mambo meeengi na ni mwepesi sana kuwa manipulated..
Kuishinda hii vita anahitajika mhuni anayeyajua mengi ya dark world.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Huyu jamaa angeachana na hizi sarakasi tu, hakuna faida yoyote ataipata, anajihatarishia maisha yake bure tu. Angepambana na maisha yake
 
Anaandika Humprey Polepole kwenye Mtandao wa Instagram

Kisa cha wana wa Israeli waliotaka kurudi Misri wakiwa jangwani katika safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Leo Channel 10, TV ya Chama imempa heshima Rostam Aziz kutoa nukuu baada ya taarifa ya habari akinibananga mie, nimeona niwakumbushe Channel 10 tulikotoka nao.

Rostam ni sehemu ya CCM Mtandao, genge la kihuni linalo bagaza na kubananga CCM, Serikali, Bunge, Mahakama, Nchi na Taifa letu. Ifike pahala sote tuseme kataa wahuni

View attachment 3447453

===
Baadhi ya mambo aliyozungumza;

Akishishirikiana na wanamtandao wengine, Rostam Aziz alipora chaneli ten inayimilikiwa na chama cha mapinduzi hadi pale Hayati Magufuli apochunguza na kuirudisha kwa CCM.

Ni Mfanyabiadshara dalali, ameuziwa Mgodi wa Madini kinyemelea pasipo kufuata sheria.

Ni mfadhiri mkuu wa kundi la wanamtandao.

Ana kashfa kila kona, ndiyo maana miaka ya 2011 alijivua gamba.

Ni mbagazaji mkuu wa nchi ya Tanzania, Serikali na CCM.
Haya tunayajua. Polepole atwambie ambayo hatujui.
 
Dunia nzima inabembeleza wawekezaji tena wazawa.

Sasa Kuna shida gani wazawa wakipewa privileges? Mbona awamu ya Mkapa wakati anabinafsisha mlisema kauza benki ya NBC Kwa Wazungu Kwa bei ya kutupa? Kipi Bora wapewe wazawa au Wazungu na Waarabu?

On top of that Nchi inahitaji pesa n uchumi kukua Hawa maskini njaa kina Polepole Wana Msaada gani Sasa Kwa Nchi? Nchi inahitaji pesa sio maneno.

Mwisho kabisa Slowslow anatakiwa kujua pia kwamba awamu ya Tano alialokwa Ikulu na Mwendazake akapewa Hadi mradi wa gesi na tenda ya kujenga Barabara ya njia 8 Kwa simu Moja tuu ya mamlaka.Mpaka hapo ana kipi Cha kutuambia bwana Slowslow? Kimsingi amechacha.
 
Nchi huwa inaongozwa na watu wachache wenye nguvu...
 
Ogopa sana technology mkuu,pole pole chuki na udini tu vinamsumbua
 
Attachments

  • 079680d6a8ff62ecdbca70ddaf5b1a22.mp4
    5.7 MB
Inawezekana Rostam akawa mhuni kama ambavyo Polepole pia ni mhuni.
Shida ya uhuni unatofautiana levels, kulingana na status, exposure, accessibility nk.
Pamoja na uhuni wa Rostam, ila tusiwe waongo tunapotaka kuaddress serious issues kwenye public.

Mzinifu anaweza kumuita mwizi mhuni, mlevi anaweza kumuita mvuta bhangi mhuni.
Muislamu asiyekula kitimoto anakunywa pombe na kuzini lakini anasema kitimoto ni haramu nk.

Watanzania wengi hatuyaishi tunayoyapigania, wengi tunawashutumu CCM na serikali Kwa wizi lakini hata huku mitaani kwenye sekta binafsi watanzania hawa hawa ni wezi na wasiojali kazi nk.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Na pia moja ya sababu Lissu kuwa mahabusu huenda kwa sababu ali mention zile lori zinazobeba makaa ya mawe!
"I'm just collecting dots, huenda ikawa!"
kwenye mgodi wa makaa ya mawe share holders ni Abdul na Rostam. Lissu aligusa kaa la moto. Ndiyo maana ikapigwa simu moja mkamateni.
 
nakumbuka kipindi cha magufuli.akiwa na polepole walienda morogoro wakamwambia abood. kama kashindwa kusimamia kiwanda cha mafuta ya kula amkabidhi Rostam . kipindi kile mafuta yalikua ya shida na yalipanda bei kila uchao. pamoja na mambo mengine mengi.

Rostam alitumika vizuri sana na magufuli na polepole alikuwepo na hakusema chochote.
polepole ni.mnafki mmoja tu.anaehangaika na tumbo lake pia.
 
Usimsikie kakomalia sana

Nishati safi
Nishati safi

Mzabuni Mkuu ukiuliza nani? Rost Tamu Aziz na Taifa Gesi

Jeshi linataka kutengeneza Mkaa Mbadala kwa kutumia Makaa ya Mawe wametangaza majuzi hapa alieshinda zabuni ya kuwauzia Makaa ya Mawe ni nani? Rost Tamu Aziz

To yeye huwezi ukamkuta huku
Nimesikitika sana
 
Mimi huwa nakaa nawaza kwa akili zangu ndogo why 60+ ya uhuru tz inateseka na wananchi wake wanateseka kumbe kuna wahuni wanaipora nchi yetu huku wamevaa shati za kijani.
Very sad
 
Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole

Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu

Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala

Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Ni kweli siyo rahisi.Lakini tayari anaowakosoa tayari amewaathiri kisaikolojia kupita kiasi.Pia uoga uliokuwa umetamalaki umepungua sana.
 
Inawezekana Rostam akawa mhuni kama ambavyo Polepole pia ni mhuni.
Shida ya uhuni unatofautiana levels, kulingana na status, exposure, accessibility nk.
Pamoja na uhuni wa Rostam, ila tusiwe waongo tunapotaka kuaddress serious issues kwenye public.

Mzinifu anaweza kumuita mwizi mhuni, mlevi anaweza kumuita mvuta bhangi mhuni.
Muislamu asiyekula kitimoto anakunywa pombe na kuzini lakini anasema kitimoto ni haramu nk.

Watanzania wengi hatuyaishi tunayoyapigania, wengi tunawashutumu CCM na serikali Kwa wizi lakini hata huku mitaani kwenye sekta binafsi watanzania hawa hawa ni wezi na wasiojali kazi nk.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Kanafiki hako this time kamebuma
 
Back
Top Bottom