Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

Huu ni uhuni sawa na uhuni mwingine tu. haya makaa ya mawe yalikuweko Tanzania hata kabla ya uhuru, wakati wa uhuru, baada ya uhuru wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Samia. Kama kungekuwa na mwekezaji aliyenyimwa kuchimba makaa ya mawe hata sisi tungejua. Hata Magufuli alishindwa kupata mwekezaji kwenye makaa ya mawe.

Hii sio habari wacha makaa ya mawe yachimbwe tupate hata hela ya maji tu kuliko kuyatazama pale wakati dunia inahama kutoka matumizi ya makaa ya mawe ili kulinda mazingira. Tusipoyachimba sasa yatabaki pale ardhini milele pale dunia itakapoanza kuyapiga marufuku.
Shoga mboga unachosema ni kweli tu dada yangu, wacha wachimbe maana hata akili zako zenyewe zipo kwenye mapaja hasahasa paji la mguu wa kushoto
 
Suala zima la Tancoal limepotoshwa na bwana HP, Tancoal imetwaliwa kihalali kabisa na Rostam kupitia kampuni yake ya Caspian/Taifa mining baada ya Tancoal kubwaga hisa zake baada ya deni kuwa kubwa.
Caspian/Taifa walikuwa watoa huduma hapo ya load and haul Kwa miaka kadhaa, Tancoal biashara ya coal ikawa ngumu akaomba awekewe stock pile akisubiri soko kustabilize, jamaa wakasomba makaa ya kutosha biashara bado ikawa ngumu na Tancoal kuzidiwa na deni.

Caspian/Taifa wakafungua kesi, makubalino yakafikiwa ya jamaa kubwaga hisa zao na Caspian/Taifa waongeze hela na ndio walichofanya Caspian/Taifa na kuchukua umiliki wa mgodi.

Situation hiyohiyo imetokea Mwadui ambalo siajabu HP anaweza kusema nako imepigwa simu Moja tu, wakati Petra diamond alikuwa anadaiwa naye Kwa hiari akaamua kukabidhi hisa zake na Caspian/Taifa wakachukua umiliki.

Binafsi sipendi uongo na ukishadanganya public siwezi kukuamini tena.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Humu wamejaa vichwa Pumbu tu, hakuna wanachoelewa….
Huku Petra ambayo Mwadui ilikuwa ni 15% ya mapato yake duniani kwa maana ni hela ndefu sana kushinda hayo makaa ya mawe
Lakini wameshupaza shingo na makaa ya mawe
 
Kwa hiyo unasema aliyekua DC, Katibu mwenezi Taifa, Mbunge wa Bunge la jamuhuri Tanzania. Usalama,Balozi polepole ana danganya. Come on

Kwani tumeshawahi kudanganywa mara ngapi na watu wenye nyadhifa kubwa kuliko hizo ulizotaja?.
Unasahau Dr Slaa alishawahi kusema Kuna bomba la mafuta limeanzia Mtwara limekwendna Dubai limejengwa kwa siri na watu wakaamini?
Unasahau Tundu Lissu akiwa BBC alishatuambia mlinzi wa JPM amekufa kwa COVID halafu baada ya siku mbili akaonekana live?

Hili la Ngaka kwenye ile project ya coal mine na kwambia kwa 100% HP kawadanganya, na kuanzia hapa sitoamini tena akisemacho nimegundua analishwa taarifa kwasasa kama Mange anavyolishwagwa upupu wakati mwingine.
Nenda chimba wewe mwenyewe utaelewa ninachokwambia, ninayajua meengi kwenye hizo biashara makaa na uchimbaji..

Naomba nikwambie tu hata JPM alilishwa matango sana kwenye ile issue ya makinikia na suala lile Kwa ujumla.

ndani ya mitaa ya Benghazi -Libya.
 
Humu wamejaa vichwa Pumbu tu, hakuna wanachoelewa….
Huku Petra ambayo Mwadui ilikuwa ni 15% ya mapato yake duniani kwa maana ni hela ndefu sana kushinda hayo makaa ya mawe
Lakini wameshupaza shingo na makaa ya mawe

Nashukuru sana kwa kuliona hilo, watu wako busy eti Rostam kapewa mgodi wa makaa wanasahau pale Mwadui Petra ambapo ndio kuna mgodi wa gharama kubwa na madini yenye thamani kubwa duniani amekuwa majority share holder kwa style ileile ya kule ngaka.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
nakumbuka kipindi cha magufuli.akiwa na polepole walienda morogoro wakamwambia abood. kama kashindwa kusimamia kiwanda cha mafuta ya kula amkabidhi Rostam . kipindi kile mafuta yalikua ya shida na yalipanda bei kila uchao. pamoja na mambo mengine mengi.

Rostam alitumika vizuri sana na magufuli na polepole alikuwepo na hakusema chochote.
polepole ni.mnafki mmoja tu.anaehangaika na tumbo lake pia.
Mbona sasa tumbo lake kaliacha Kyuba?
 
Ni kampuni ya watu na wananchi ndo mtaji wanaajili
Lakini hao waajiri hawana tena nguvu za kuwaondoa wanaowaweka madarakani

Badala yake wamekuwa wakifanyiwa maigizo ya maendeleo feki huku wao wakiendelea ku-push v8 🙌
 
Mkuu Ukiwa kiongozi halafu unataka kuhandle mambo rahisi rahisi, You are USELESS.

Magufuli Asinge anzisha Ujenzi wa Bwawa la Nyerere, Wala SGR angekua anaendekeza Vitu rahisi rahisi
Ni sahihi Mkuu,

He was champ in public infrastructures investment ambayo wengi walishindwa japo kujaribu alivyofanya yeye
 
Ndugu, kama wewe huwez acha wanaoweza wafanye. Unga mkono upande unaoona upo sahihi mengine muachie Mungu wa Mbinguni.
Natambua jitahada zinazofanyika kuelekea kwenye Eden yetu

Wito wangu, Vyombo vya usalama ni wakati wa kuwa pamoja na Wananchi badala ya kukumbatia Wanasiasa mtandao ambao Kwa miaka zaidi ya 30 wamekuwa wakiitafuna Nchi yetu
 
Rostam ana malori semitrailers, pulling, , long base, tipper 400 zinabeba makaa hayo ya mawe kutoka huko kusini masaa 24 gari ziko barabarani route kusini, manyoni, Tabora mjini, Nzega via kahama ,Mpaka Uganda ana mpango wa kuongeza malori mengine abebe makaa ya mawe mpaka ayamalize , nyuma yake Kuna wastaafu wakubwa , hii ndio itakuwa imempa kesi Lissu .
Kusini gari zote zinazobeba makaa ya mawe ni za Ruvuma Coal
 
Kwanini umiliki imepita kirushwa rushwa,?
..na kwa nini kila penye mgodi zilipo kampuni za rostam km supplier lazima kutokee matatizo ya uendeshaji na rostam anakuwa standby kununua mgodi? ilishatokea mwadui kwenye mgodi wa almas kitu km hiki.
 
Duh, mambo mengine Polepole anadanganya sasa, hapo ndio ninapogundua kuna vitu pia huyu Polepole hana taarifa sahihi.

Mgodi wa makaa ya mawe mahakama ndio iliyoamua baada ya kampuni ya Caspian kuwa wanamdai Tancoal kiasi kikubwa cha hela baada ya Tancoal kupewa huduma kwa muda mrefu na kushindwa kulipa deni, sio Caspian tu, Tancoal walikuwa wanamadeni mengi baada ya kupewa huduma na kushindwa kulipa madeni na makampuni tofautitofauti.

Caspian alikuwa anatoa huduma ya haulage pale na alipeleka mitambo yake kufanya kazi kwa muda mrefu, Tancoal akawa na financial crisis na kushindwa kulipa madeni.
Kesi ikaenda mahakamani deni likaonekana ni kubwa Tancoal hawezi kulipa ikabidi wakubaliane Tancoal amaliziwe hela ili abwage hisa zake.

Tuwe tunatafuta taarifa sahihi ya baadhi ya mambo pamoja na ugomvi wetu na CCM.
Yale yale ya uongo wa Lissu na kifo cha mlinzi wa JPM pale BBC au uongo wa Dr Slaa na bomba la gas lililopita baharini kwenda Dubai.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Ayaaaa kuandika neno Benghazi Libya ndio anaona anajuaaaaa mwenyeweee
 
Suala zima la Tancoal limepotoshwa na bwana HP, Tancoal imetwaliwa kihalali kabisa na Rostam kupitia kampuni yake ya Caspian/Taifa mining baada ya Tancoal kubwaga hisa zake baada ya deni kuwa kubwa.
Caspian/Taifa walikuwa watoa huduma hapo ya load and haul Kwa miaka kadhaa, Tancoal biashara ya coal ikawa ngumu akaomba awekewe stock pile akisubiri soko kustabilize, jamaa wakasomba makaa ya kutosha biashara bado ikawa ngumu na Tancoal kuzidiwa na deni.

Caspian/Taifa wakafungua kesi, makubalino yakafikiwa ya jamaa kubwaga hisa zao na Caspian/Taifa waongeze hela na ndio walichofanya Caspian/Taifa na kuchukua umiliki wa mgodi.

Situation hiyohiyo imetokea Mwadui ambalo siajabu HP anaweza kusema nako imepigwa simu Moja tu, wakati Petra diamond alikuwa anadaiwa naye Kwa hiari akaamua kukabidhi hisa zake na Caspian/Taifa wakachukua umiliki.

Binafsi sipendi uongo na ukishadanganya public siwezi kukuamini tena.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
kwa upumbavu ulio nao unaona ni sawa tu kila penye mgodi ambao kampuni za rostam zinatoa huduma lazima patokee matatizo ya kuendesha mgodi na rostam mara zote yuko standby kununua mgodi..! syndicate za kipumbavu kabisa! ni lazima deni lilipwe kwa mtoa huduma kununua mgodi..? mara zote mtoa huduma ni yeye peke yake..?
 
Back
Top Bottom