The fall of CCM 1995-2025.✍️📌Anaandika Humprey Polepole kwenye Mtandao wa Instagram
Kisa cha wana wa Israeli waliotaka kurudi Misri wakiwa jangwani katika safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Leo Channel 10, TV ya Chama imempa heshima Rostam Aziz kutoa nukuu baada ya taarifa ya habari akinibananga mie, nimeona niwakumbushe Channel 10 tulikotoka nao.
Rostam ni sehemu ya CCM Mtandao, genge la kihuni linalo bagaza na kubananga CCM, Serikali, Bunge, Mahakama, Nchi na Taifa letu. Ifike pahala sote tuseme kataa wahuni
View attachment 3447453
===
Baadhi ya mambo aliyozungumza;
Akishishirikiana na wanamtandao wengine, Rostam Aziz alipora chaneli ten inayimilikiwa na chama cha mapinduzi hadi pale Hayati Magufuli apochunguza na kuirudisha kwa CCM.
Ni Mfanyabiadshara dalali, ameuziwa Mgodi wa Madini kinyemelea pasipo kufuata sheria.
Ni mfadhiri mkuu wa kundi la wanamtandao.
Ana kashfa kila kona, ndiyo maana miaka ya 2011 alijivua gamba.
Ni mbagazaji mkuu wa nchi ya Tanzania, Serikali na CCM.
Vyomb vya ulinzi na usalama vijitafakari kama kweli vinaistahili hii nchi, haiwezekani mtu mmoja tena sio indigenous ashikilie uchumi wa nchi kwa kuhodhi biashara zote za maliasili yetu kuanzia gesi, chuma ,makaa ya mawe na dhahabu. How comes vyombo vimeacha hili jambo kuendelea miaka yote hii? Yaani mtu mmoja kashikilia sekta yoye ya energy na wako kimya tu?!! Hawaoni hatari ya kuingiza nchi kwenye resources curse kama ya DRC na Nigeria?
kwa upumbavu ulio nao unaona ni sawa tu kila penye mgodi ambao kampuni za rostam zinatoa huduma lazima patokee matatizo ya kuendesha mgodi na rostam mara zote yuko standby kununua mgodi..! syndicate za kipumbavu kabisa! ni lazima deni lilipwe kwa mtoa huduma kununua mgodi..? mara zote mtoa huduma ni yeye peke yake..?
Ayaaaa kuandika neno Benghazi Libya ndio anaona anajuaaaaa mwenyeweee
Shiva Com sio rostam!! Ila Kwakua ww Britannica aya kanyaga twende!!!
Imebaki sh ngapi uliyo.pewa?Polepole muongo, rostam alianza kununua magazeti ya jenerali ulimwengu 'rai' akaja malizia channel ten,kisha CCM wakainunua channel ten, ulimwengu alianzisha raia mwema
Wahuni😂Wapolooooo…wapoloo
Itakua wamedhulumiana kwenye ulaji wao ndio wanaamua kukomoana kwa kutoleana siriPolepole ana depression flan! Hawa watu wanajificha ktk kivuli cha uzalendo pori ni wa kuwaogopa sana! Nawajua kwa kina kuanzia wale tuliowahi kuwaita mitume 12 wakati uleee...hao jamaa wakiwa jikoni ni walaji wazuri sana wa 'steki'. Msiwaamini.
Mtu mjinga ndie anafikiri na kuona km wewe..miaka ya 2000 wakat uwekezaji mkubwa ulivyoanza, kanuni za misamaha ya kodi na nafuu zingine kwa wawekezaji zilikuwa zinatumiwa vibaya..mwekezaji anaanza uwekezaji huku akitumia misamaha lkn hadi kipind cha kuisha misamaha anasema bado ana-operate kwa hasara na inamlazimu kuwa km anauza biashara yake kwa mwekezaji mwingine mpya ambaye nae anaanza hiyo biashara kwa jina jipya na hivyo nae kupewa misamaha ile ile km yule aliyemuuzia alivyoanza..miaka 3 au 4 nae anasema hajapata faida..lkn kumbe ni mbinu ovu kukwepa kulipa kodi na si kweli kuwa wanauziana mmiliki anaweza kuwa ni yule yule wa mwanzo..kitu wanafanya ni kuighilibu serikali ya wajinga kwa kubadilisha jina la kampuni tu..nyuma y Pazia hakuna kinachobadilika..ndio michezo ya rostam hiyo! Nadhani umeelewa km akili ya kuelewa ipo.Nashukuru Mwenyezi Mungu mimi sio mpumbavu.
Jifunze kutafuta taarifa na sio kusikia hear say na kumeza kila unachoambiwa, Dunia ya sasa ni rahisi sana kutafuta taarifa na kujifunza mambo mbali mbali ikiwemo namna biashara za kimataifa zinavyoendeshwa.
Unafikiri Petra Diamond pale Mwadui wangekuwa hawajatendewa haki wangekaa kimya bila kufungua kesi mahakamani? Namaanisha mahakama za nje maana sio kampuni ya ndani na inalindwa na mikataba ya kimataifa, tena wao wenyewe kwa hiari hao walikaa mezani na kusaini kusarrender hisa na kumaliziwa hela.
Huyo Rostam umeambiwa alikuwa na kazi hizo mbili tu? Mbona amefanya kazi na Anglo na hakuna kilichotokea? Mbona bado anafanya kazi na Barrick na hakuna kilichotokea?
Hivi unajua hao Tancoal hawakuwa wanadaiwa na Kampuni ya Rostam tu, bali wamedaiwa na contractors wengi sana hapo na hao Caspian/Taifa ndio walikuwa na deni kubwa maana scope yao ya kazi ilikubwa pia.
Sipendi uongo, na ukisema uongo kumislead watu Kwa interest zako nakudharau sana.
Huyo mtu wenu katika hili kamezeshwa matango poli.
Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Mtu mjinga ndie anafikiri na kuona km wewe..miaka ya 2000 wakat uwekezaji mkubwa ulivyoanza, kanuni za misamaha ya kodi na nafuu zingine kwa wawekezaji zilikuwa zinatumiwa vibaya..mwekezaji anaanza uwekezaji huku akitumia misamaha lkn hadi kipind cha kuisha misamaha anasema bado ana-operate kwa hasara na inamlazimu kuwa km anauza biashara yake kwa mwekezaji mwingine mpya ambaye nae anaanza hiyo biashara kwa jina jipya na hivyo nae kupewa misamaha ile ile km yule aliyemuuzia alivyoanza..miaka 3 au 4 nae anasema hajapata faida..lkn kumbe ni mbinu ovu kukwepa kulipa kodi na si kweli kuwa wanauziana mmiliki anaweza kuwa ni yule yule wa mwanzo..kitu wanafanya ni kuighilibu serikali ya wajinga kwa kubadilisha jina la kampuni tu..nyuma y Pazia hakuna kinachobadilika..ndio michezo ya rostam hiyo! Nadhani umeelewa km akili ya kuelewa ipo.
..yote unayoandika ni nadharia hakuna substance yyte, hicho unachoshikilia eti madai..kiuhalisia hakipo, kampuni inaweka mtaji kuchimba almasi, dhahabu au coal haifanyi biashara km genge la nyanya..hata mtaji waliokopa hawajarudisha eti wanashindwa kulipa suppliers..wnawezaje kurudisha pesa waliyokopa washindwe kuwalipa suppliers? Hivi unalipa deni kabla ya suppliers au unalipa suppliers kwanza kabla ya deni..na kwa nini mwekezaji anapodai ameshindwa kuendesha biashara yeye rostam yuko standby kuchukua hiyo biashara? Km ni deni assets hutumika kulipa madeni kabla ya kuuza biashara, kuna haja gn yeye kuwa supplier badala ya yeye kuwekeza kwenye hiyo biashara kabla ya kusubiri kununua biashara iliyoshindwa..? Utapeli wa kijinga kbs! Hakuna ktu km hicho eti supplier anageuka kuwa na uwezo zaidi ya mwenye mgodi..juha ndio anaweza amini huu ujinga!Nashukuru Mwenyezi Mungu mimi sio mjinga.
Sioni chochote ulichoandika zaidi yakuandika vitu vingine ilihali tunajadili vitu vingine.
Sasa Rostam anawadai baada ya kuwapa huduma kwa miaka kadhaa na hawana uwezo wa kumlipa na biashara inawaendea hovyo ulitaka Rostam afanyaje? Aje ashitaki Jamii forum?
Nimefunga huu mjadala kwa leo.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Mambo ya umis yametoka wapi sasa,huwa mnaanza hivi hivi mdogo mdogo mwisho wa siku mnaliwa. Wewe kama ni mwanaume kaza acha kujifanya jikeNi kweli Mis Kimara kama vile wewe ulivyokuwa tatizo kwa familia yako
Ni mara laki moja ya sasa kuliko kipindi kile cha giza. Japo hata sasa kuna shida kubwa lakini ni bora kuliko kipindi cha JiweAhueni ipi ? Maana ndo imerudisha wahuni wote wamerudi
Kwa hili uko sahihi sana mkuuTatizo ni mamlaka kusikiliza washauri wabovu kama Mbowe na akina Rostam Aziz na ibilisi chawaccm waovu
Makubwa 🙄Ni mara laki moja ya sasa kuliko kipindi kile cha giza. Japo hata sasa kuna shida kubwa lakini ni bora kuliko kipindi cha Jiwe
Usiniamini mimi, fuatilia fact.
Binafsi najua fact nyingi sio hear say za watu, nikiona mtu anasema uongo inanipa shida kidogo.
amini katika hili la Tancoal, HP kadanganya na aamini pia HP hayajui mengi hana ukweli wa mengi, nimemsikiliza toka day 1 kwenye hizo episodes zake, nimegundua hajui mengi na hana power.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Haya mazezeta ni ya kupuuzwa.Hapo Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah watakifanya hawaoni hii mada!