n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,543
- 7,272
Wewe ni mnufaika wa futungo, haya magenge ya kihuni mwisho wake umefika.Ni mara laki moja ya sasa kuliko kipindi kile cha giza. Japo hata sasa kuna shida kubwa lakini ni bora kuliko kipindi cha Jiwe