minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Ukweli ndiyo huu kwani aligusa masilahi ya RostamSasa kumbe Lissu kuwekwa ndani ni baada ya kuanza kuzungumzia ishu ya Malori kwa malori kukomba makaa ya mawe!
Ukweli ndiyo huu kwani aligusa masilahi ya RostamSasa kumbe Lissu kuwekwa ndani ni baada ya kuanza kuzungumzia ishu ya Malori kwa malori kukomba makaa ya mawe!
...ceo ni nani na mwenyekiti wa bodi ni nani wa taifa group?Miaka Ile ilikuwa ikiitwa Caspian mining and Civil Kwa sasa inaitwa Taifa mining and Civil chini ya Taifa group.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Rostam ana skendo nyingi sana zikiwemo za majeneta ya umeme kule Ubungo kwa kifupi polepole kabeep kidogo tu lakini Rostam akiendelea atamvua nguo zote aadhirikeRostam angepiga kimya tu....kutafuta ligi na Polepole ni kujivua nguo tu..makandokando mengi.
Lkn Polepole naye, kama Rostam alitumia connection yake akanunua na akalipa kodi, no problem..sisi si tumelala..
ok, kwahiyo ni ubia wa rostam na taifa..wakaacha lile neno moja la usalama..? ndio maana yako..Okay. Taifa ni kampuni kubwa sana
Umeona tatizo lilipo..huyu mama sio...si ameamua kujizima data...Lisu alipogusia tu ishu ya Makaa ya Mawe, uhaini ndo ukaanzia hapo? Si bure tunaambiwa hii nchi ni kama haina mwenyewe
..who sets the tune?Inawezekana Rostam akawa mhuni kama ambavyo Polepole pia ni mhuni.
Shida ya uhuni unatofautiana levels, kulingana na status, exposure, accessibility nk.
Pamoja na uhuni wa Rostam, ila tusiwe waongo tunapotaka kuaddress serious issues kwenye public.
Mzinifu anaweza kumuita mwizi mhuni, mlevi anaweza kumuita mvuta bhangi mhuni.
Muislamu asiyekula kitimoto anakunywa pombe na kuzini lakini anasema kitimoto ni haramu nk.
Watanzania wengi hatuyaishi tunayoyapigania, wengi tunawashutumu CCM na serikali Kwa wizi lakini hata huku mitaani kwenye sekta binafsi watanzania hawa hawa ni wezi na wasiojali kazi nk.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Still polepole bado ameshikilia karata ya mchezo na anaupiga mwingiAnaandika Humprey Polepole kwenye Mtandao wa Instagram
Kisa cha wana wa Israeli waliotaka kurudi Misri wakiwa jangwani katika safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Leo Channel 10, TV ya Chama imempa heshima Rostam Aziz kutoa nukuu baada ya taarifa ya habari akinibananga mie, nimeona niwakumbushe Channel 10 tulikotoka nao.
Rostam ni sehemu ya CCM Mtandao, genge la kihuni linalo bagaza na kubananga CCM, Serikali, Bunge, Mahakama, Nchi na Taifa letu. Ifike pahala sote tuseme kataa wahuni
View attachment 3447453
===
Baadhi ya mambo aliyozungumza;
Akishishirikiana na wanamtandao wengine, Rostam Aziz alipora chaneli ten inayimilikiwa na chama cha mapinduzi hadi pale Hayati Magufuli apochunguza na kuirudisha kwa CCM.
Ni Mfanyabiadshara dalali, ameuziwa Mgodi wa Madini kinyemelea pasipo kufuata sheria.
Ni mfadhiri mkuu wa kundi la wanamtandao.
Ana kashfa kila kona, ndiyo maana miaka ya 2011 alijivua gamba.
Ni mbagazaji mkuu wa nchi ya Tanzania, Serikali na CCM.
Bado kukula wewe tuHuyu Caspian hii nchi anaila siyo mchezo
Rostam ni mwekezaji..? y r so foolish!Dunia nzima inabembeleza wawekezaji tena wazawa.
Sasa Kuna shida gani wazawa wakipewa privileges? Mbona awamu ya Mkapa wakati anabinafsisha mlisema kauza benki ya NBC Kwa Wazungu Kwa bei ya kutupa? Kipi Bora wapewe wazawa au Wazungu na Waarabu?
On top of that Nchi inahitaji pesa n uchumi kukua Hawa maskini njaa kina Polepole Wana Msaada gani Sasa Kwa Nchi? Nchi inahitaji pesa sio maneno.
Mwisho kabisa Slowslow anatakiwa kujua pia kwamba awamu ya Tano alialokwa Ikulu na Mwendazake akapewa Hadi mradi wa gesi na tenda ya kujenga Barabara ya njia 8 Kwa simu Moja tuu ya mamlaka.Mpaka hapo ana kipi Cha kutuambia bwana Slowslow? Kimsingi amechacha.
Watu sample kama wewe ndiyo wamedunaza maendeleo Tanzania ebu fikiria wawepo watanzania waoga kam wewe milion moja tu Nchi itakuwa ya ajabu kwani hakuna wa kukemea mabayaHuyu jamaa angeachana na hizi sarakasi tu, hakuna faida yoyote ataipata, anajihatarishia maisha yake bure tu. Angepambana na maisha yake
Murilo ndio kwanza anakwambia tutasindikiza boksi za kula hahahahahaKuna "vyombo" vinatakiwa vijiulize kama vina ulazima wa kuwepo nchini wakati mtu mmoja amegeuza nchi mali yake.Yaani mahakama mmepigiwa simu mna taka kumnyonga mwenzenu kwa ajili ya kulinda wageni?wana ccm tukishapewa elfu 2 2 za chumvi basi hatuwezi uliza maswali magumu no wonder ule utafiti wa 2015 uli onyesha wanachama wa ccm ni wajinga na wazee.
Wewe anakukula mda huu siyoBado kukula wewe tu
Peleka upumbavu wako huko..hayo makombo unayotupiwa na kuruka ruka km juha muda si mrefu hutayapata tena.Inawezekana watanzania kweli tuna shida na CCM na watawala, lakini tuwe makini sana na baadhi ya watu maana naona kuna uongo na manipulations nyingi sana zinazoendelea.
HP, Sugu na Gwajima hawana uaminifu wowote wakuwasemea na kuwapigania watanzania, na haya ndio hufanya harakati zakuitoa CCM kila siku kurudi nyuma, maana tunaowaamini wajinga kila siku.
TL ni mzalendo wa kweli na kweli ana nia ya dhati, shida yake naye hayuko well informed kwenye mambo meeengi na ni mwepesi sana kuwa manipulated..
Kuishinda hii vita anahitajika mhuni anayeyajua mengi ya dark world.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Wewe ndiyo umebuma lakini polepole ujumbe wake unafika pakubwa ndiyo maana hata wewe umeibuka toka uvunguni mwa RostamKanafiki hako this time kamebuma
..huo ndio upumbavu anaujutia!Magufuli na Polepole walikuwa na nafasi ya kuifanyia total reform ccm ikawa mpya kabisa,lakini badala yake wakaanza kukimbizana na Lissu..wakiyasahau maadui yaliyo jazana ndani ya CCM
Tundu lisu leo yupo pale alipo kwasababu ya kuhoji kuhusu mapato yatokanayo na makaa ya mawe. Akafunguliwa kesi ya kubumba ambayo hukumu yake ni KUNYONGWA. huku Rostam na singasinga wakichangisha pesa za kampeni kwenda kwa samiaAnaandika Humprey Polepole kwenye Mtandao wa Instagram
Kisa cha wana wa Israeli waliotaka kurudi Misri wakiwa jangwani katika safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Leo Channel 10, TV ya Chama imempa heshima Rostam Aziz kutoa nukuu baada ya taarifa ya habari akinibananga mie, nimeona niwakumbushe Channel 10 tulikotoka nao.
Rostam ni sehemu ya CCM Mtandao, genge la kihuni linalo bagaza na kubananga CCM, Serikali, Bunge, Mahakama, Nchi na Taifa letu. Ifike pahala sote tuseme kataa wahuni
View attachment 3447453
===
Baadhi ya mambo aliyozungumza;
Akishishirikiana na wanamtandao wengine, Rostam Aziz alipora chaneli ten inayimilikiwa na chama cha mapinduzi hadi pale Hayati Magufuli apochunguza na kuirudisha kwa CCM.
Ni Mfanyabiadshara dalali, ameuziwa Mgodi wa Madini kinyemelea pasipo kufuata sheria.
Ni mfadhiri mkuu wa kundi la wanamtandao.
Ana kashfa kila kona, ndiyo maana miaka ya 2011 alijivua gamba.
Ni mbagazaji mkuu wa nchi ya Tanzania, Serikali na CCM.
Vita mbona lisu kawakabidhi wapenda maendeleo inaendelea kupiganwa na wananchi watashinda licha ya mabaya wanayomtendea LisuInawezekana watanzania kweli tuna shida na CCM na watawala, lakini tuwe makini sana na baadhi ya watu maana naona kuna uongo na manipulations nyingi sana zinazoendelea.
HP, Sugu na Gwajima hawana uaminifu wowote wakuwasemea na kuwapigania watanzania, na haya ndio hufanya harakati zakuitoa CCM kila siku kurudi nyuma, maana tunaowaamini wajinga kila siku.
TL ni mzalendo wa kweli na kweli ana nia ya dhati, shida yake naye hayuko well informed kwenye mambo meeengi na ni mwepesi sana kuwa manipulated..
Kuishinda hii vita anahitajika mhuni anayeyajua mengi ya dark world.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Naona aliona hilo ndio linastahili kwa wakati huo😆😆Kwa jinsi alivyokuwa analitumia kwa wanaume ambao kosa tu kumpinga
Sasa nauliza why malaya?
Alikosa neno lingine hata washenzi basi 😜
Channel Ten ni ya CCM. Hiyo niBasi tuambie wewe tukuamin saiv chanel ten ni ya nani,pamoja na mgodi alioutaja polepole
Uwe na busara ya vidole vyako kabla ya kuandika! Kwakuwa nimefunzwa ninachokwambia; nawaheshimu wazazi wako kama ninavyowaheshimu wazazi wangu. Mungu akupe hekima na busara kabla ya kuongea au kuandika. Asante!Miaka ile Rostam anajivua gamba CCM kwa tuhuma za ufisadi, ulikuwa umezaliwa ama Baba yako alikuwa hajafika kileleni ukawepo Duniani ?
Pakubwa wapi?Wewe ndiyo umebuma lakini polepole ujumbe wake unafika pakubwa ndiyo maana hata wewe umeibuka toka uvunguni mwa Rostam