minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Usingemuua magufuli reform ingekuwa tayari..huo ndio upumbavu anaujutia!
Usingemuua magufuli reform ingekuwa tayari..huo ndio upumbavu anaujutia!
Uchungu gani? Mbali wapi?Wewe ndiyo umebuma lakini polepole ujumbe wake unafika pakubwa ndiyo maana hata wewe umeibuka toka uvunguni mwa Rostam
Laana za mateso wanayomfanyia Lisu na chadema vitamtafuna mpaka anyookeHuyo Ponjoro kwani kama kashindikana kwa njia za kawaida si alogwe afie mbali
Ni nani?Rostam ni mwekezaji..? y r so foolish!
kwa hiyo rostam anaijua biashara ya coal kuliko hao unaodai walishindwa kulipa suppliers? waliwezaje kuanza wakashindwa kuendelea..na serikali km mbia mwenza nayo ilishindwa kuwalipa suppliers..? yeye rostam anatengeneza pesa? au amespecialize kununua makampuni na miradi inayofeli Tanzania..?Kwa sasa largest producer wa Makaa ya mawe Tanzania ni Ruvuma Coal na ndio mwenye soko la uhakika alilolipata baada ya vita ya Russia na Ukraine na watu wa Ulaya wakaanza kuwa na mashaka na supply ya Mrusi wakaanza kujihami kustock Coal ili kurun Coal plants zao ambazo walizifunga, Kwa sasa zote ziko repaired na ready to go incase kuna shida kwenye source rahisi ya gas.
Coal nyingi inayokwenda Ulaya kwasasa ni stock kujiandaa na lolote ndio maana mliona biashara ya makaa ilichangamka kipindi fulani.
Kampuni inayoitwa Tancoal ilishake miaka fulani na kufikia kushindwa kuwalipa watoa huduma wake akiwemo main contractor aliyekuwa anafanya load and haul hapo Caspian (Taifa) ambaye ndiye alikuwa na scope kubwa ya kazi hapo mgodini..
Hata mkandarasi aliyekuwepo hapo kabla ya Caspian (Taifa) naye anamdai Tancoal.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Wenye mamlaka ya kimaadili siyo huyu jamaa. Aliiba V8 mbili za kampeni akanyang'anywa enzi za mzee. Na fedha za kampeni upande wa media alizipiga. Hawana huo uadilifu...huyu yuko nje ya power kama alizokuwa nazo. Hajui vyeo vya umma ni dhamana. Leo wewe kesho mwingine.Tuwaamini akina nani sasaaa?
hakuna mwekezaji money launderer na dalali..Ni nani?
Tanzania
Zambia
Kenya
Kote huko amewekeza baby Yako au wewe na Polepole 😁😁
Au mwekezaji anatakiwa atoke wapi? 😂😂
Hapo ulipo sasa ndiyo umbali wenyewe kukufikia wewe inatosha ingawa una uchungu boss wako Rostam kuvuliwa nguo sasaUchungu gani? Mbali wapi?
Na wewe hutaki pesa au? Si ufanye hayo uitwe ikulu na Marais?hakuna mwekezaji money launderer na dalali..
Mnatapatapa 😂😂Hapo ulipo sasa ndiyo umbali wenyewe kukufikia wewe inatosha ingawa una uchungu boss wako Rostam kuvuliwa nguo sasa
Ninachojua Channel Ten ni ya CCM na ilikuwa ya CCM. Atusaidie docs zilizoonyesha umiliki ulihamishwa.Basi tuambie wewe tukuamin saiv chanel ten ni ya nani,pamoja na mgodi alioutaja polepole
Hizo propaganda za kishamba peleka kwa wajinga wenzako hapa tunajadili wizi wako na boss wako RostamWenye mamlaka ya kimaadili siyo huyu jamaa. Aliiba V8 mbili za kampeni akanyang'anywa enzi za mzee. Na fedha za kampeni upande wa media alizipiga. Hawana huo uadilifu...huyu yuko nje ya power kama alizokuwa nazo. Hajui vyeo vya umma ni dhamana. Leo wewe kesho mwingine.
..hadi wanakufikia kukuua tayari ulishakosea hata reform asingeweza kuzisimamia, unarubuniwa na watoto wadogo kina gerson msigwa ujue uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.Usingemuua magufuli reform ingekuwa tayari
Peleka upumbavu wako huko..hayo makombo unayotupiwa na kuruka ruka km juha muda si mrefu hutayapata tena.
Nyie chawa wa Rostam ndiyo mnatapatapa mmepagawa atawadai posho zake kwani hamna hoja wala uwezo wa kumteteaMnatapatapa 😂😂
Kwa kweliNaona aliona hilo ndio linastahili kwa wakati huo😆😆
We jamaa ukweli na haki havijawahi kushindwa na hila.Sio rahisi kuvishinda hivi vita ulivyoanzisha ndugu Polepole
Angalia madhira anayopitia Tundu Lissu kisa kujaribu kubadirisha mfumo ambao hao Wanamtandao ndiyo wanaufaika wakuu
Wamewalipa Vijana wengi humu mitandaoni kwaajili ya kuhakikisha wanafifisha mawazo mbadala
Hata humu JF pitia majukwaani utajionea
Hueleweki jombaaHuyu Caspian hii nchi anaila siyo mchezo
Mm namkula mm akoWewe anakukula mda huu siyo
Rostam ni mwizi kapora Mgodi kihuni huni tu hakufuata sheria sasa huko alipo anajuuta kumgusa PolepoleUsiseme aliuziwa na Serikali, sema aliuziwa na wahuni wenzie!
Rosti tamu ni mtu wa kupenda kuhonga, fisadi na laghai miaka yote!