Humphrey Polepole: Shule ya Uongozi

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey Polepole?

Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo

Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini

Kiukweli I declare interest kwamba namkubali Polepole sana

Hii nchi inahitaji kina Polepole kama 50 hivi

Huyu alitakiwa awe Waziri kabisa au mshauri wa Rais

Kwa hizi hoja kuna wa kumpinga huyu Jamaa? Anzia dk ya 14 hapo [emoji1313]l's ?[emoji1313][emoji1313]


 
Kabla hujaenda mbali,tupe tafsiri ya uzalendo,isije kuwa unazungumzia uzalendo wa kitanzania.ule usio amini katika haki, na sheria, ule unaoamini katiba mpya itayaondosha maslahi ya wachache na kuzingatia maslahi ya taifa.
 
Mzalendo hawezi kuzungumza UPUMBAVU kama huu. Acha ujinga!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule aliyesema Tume ya uchaguzi ikiwa huru fisiemu wajiandae kukabidhi Ikulu au huyu mzee wa V8?
 

Tatizo chama alichopo
 
😲😲🤣🤣🤣
Acha maskhara mkuu khaaa......

Haya endelea kuamini hivyo....

#SiempreJMT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…