TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi.
Kule Angola kikundi hicho kinaitwa FUTUNGO.
Wahuni wa Tanzania wanaweza kupiga Copy serikali yetu yani wao ndio wakawa kila kitu wao ndio wanatoa Maamuzi yote, halafu hii serikali iliyopo Madarakani ikawa ni Mwana Sesere tu yani ikawa haina Lolote.
Wahuni ndio wakawa wanaongoza Nchi Kupitia serikali yao walio itengeneza wenyewe yani Serikali ime pigwa Copy kuna Serikali A na Serikali B ila Serikali B ndio yenye Nguvu kuliko Serikali A.
Tuwe makini na Wahuni" -humphrey polepole