TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
- Thread starter
- #81
Reply yako imekuja muda muafaka, leo nikiwa safarini nilikuwa naongea na msafiri mwenzangu yahusuyo nchi yetu Tanga na nyika.Duuh sikuwa kuliona hili bandiko alichoongea ndio kinachofanyika sasa hivi Kuna kikundi Cha watu wachache wamejiundia serikali Yao tofauti na ya wananchi na wanakula kisawasawa inaonekana hii ni michezo ya CCM sema jamaa aliamua kumwaga mboga baada ya kuondolewa kundini
Jamaa kaongea mwisho nikauzunika alafu sikujua kama nilipitiwa na usingizi hadi niliposhtuka.