Humphrey Polepole: Tuwe makini na wahuni, wanaweza kuipiga copy serikali

Alivyoondoka Mkapa nikawaza sasa boti linaanza kupoteza muelekeo
Alivyofuata na JPM nikawaza sasa itakuwaje ???

Kumbe ilikuwa ni kama naota tu 👁🙄
Mambo yataendelea kuwa vizuri tu 👁🙄 😳😷
 
Ila Polepole ni so predictable. Keshachoka kukaa Cuba hapo sasa anataka aongezewe ulaji.

Daima uzalendo wa Polepole huambatana moja kwa moja na tumbo lake.

Akipewa bingo huufyata.
 
View attachment 3005433
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi.

Kule Angola kikundi hicho kinaitwa FUTUNGO.

Wahuni wa Tanzania wanaweza kupiga Copy serikali yetu yani wao ndio wakawa kila kitu wao ndio wanatoa Maamuzi yote, halafu hii serikali iliyopo Madarakani ikawa ni Mwana Sesere tu yani ikawa haina Lolote.

Wahuni ndio wakawa wanaongoza Nchi Kupitia serikali yao walio itengeneza wenyewe yani Serikali ime pigwa Copy kuna Serikali A na Serikali B ila Serikali B ndio yenye Nguvu kuliko Serikali A.

Tuwe makini na Wahuni" -humphrey polepole
Humphrey Polepole: unachokisema ndicho kilichopo Tanzania.
 
Huyu shetani kasau nini nchini?
 
Mwamba bado anakomaa na wahuni.. shida hawataji majina.
 
Attachments

  • IMG-20240601-WA0037.jpg
    IMG-20240601-WA0037.jpg
    32.8 KB · Views: 2
View attachment 3005433
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi.

Kule Angola kikundi hicho kinaitwa FUTUNGO.

Wahuni wa Tanzania wanaweza kupiga Copy serikali yetu yani wao ndio wakawa kila kitu wao ndio wanatoa Maamuzi yote, halafu hii serikali iliyopo Madarakani ikawa ni Mwana Sesere tu yani ikawa haina Lolote.

Wahuni ndio wakawa wanaongoza Nchi Kupitia serikali yao walio itengeneza wenyewe yani Serikali ime pigwa Copy kuna Serikali A na Serikali B ila Serikali B ndio yenye Nguvu kuliko Serikali A.

Tuwe makini na Wahuni" -humphrey polepole
Wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi
 
Back
Top Bottom