Humphrey Polepole: Tuwe makini na wahuni, wanaweza kuipiga copy serikali

Wahuni wa Tanzania wanaweza kupiga Copy serikali yetu yani wao ndio wakawa kila kitu wao ndio wanatoa Maamuzi yote, halafu hii serikali iliyopo Madarakani ikawa ni Mwana Sesere tu yani ikawa haina Lolote.
Tanzania kuna
  1. Rost Tamu
  2. Msoga
  3. Mwashambwa
  4. Supika
 
Atuambie yeye alificha ngapi maana mwendazake inasemekana alikutwa na 42 usd million in de house..
 
Mimi huwa nawaza hivi teuzi haziwezi kufanyika kwa mtu ambae ni ametoka masomoni chuo lakini cha ajabu wanajirudia walewale wanabadilishwa tu vituo
 
Ndugu Polepole umekisoma hiki kitabu? Ufafanuzi wa kina kabisa wa post yako unapatikana humo ndani.

Nimeona wewe umeguswa pia humu ndani. Au labda ni mtazamo wangu
 

Attachments

  • Screenshot_20240218-030511_Canva.jpg
    421 KB · Views: 2
Hapo ametoa mfano au ametueleza kuhusu mwanasesere,mtoa kopi na mchukua mapato?Maana ameongea kwa mtindo wa flashback.Tayari au bado?
 
#Polepole kataa wahuni #

Maelezo hayajitoshelezi
Hao wahuni wanaweza wezaje kufanya hivyo bila hiyo Serikali A kujua nini kinaendelea ???

Au ana maana A na B ndio wale wale ??
Tumeshasikia mikoa mingine wamegundulika wanazo control namba zao hao wezi πŸ™„πŸ‘πŸ˜³
 
Huyu mjamaa mda wote anaongea nadharia kama kawaida Yao 😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…