Humphrey Polepole: Tuwe makini na wahuni, wanaweza kuipiga copy serikali

Alivyoondoka Mkapa nikawaza sasa boti linaanza kupoteza muelekeo
Alivyofuata na JPM nikawaza sasa itakuwaje ???

Kumbe ilikuwa ni kama naota tu πŸ‘πŸ™„
Mambo yataendelea kuwa vizuri tu πŸ‘πŸ™„ 😳😷
 
Ila Polepole ni so predictable. Keshachoka kukaa Cuba hapo sasa anataka aongezewe ulaji.

Daima uzalendo wa Polepole huambatana moja kwa moja na tumbo lake.

Akipewa bingo huufyata.
 
Humphrey Polepole: unachokisema ndicho kilichopo Tanzania.
 
Masisadi ndio wahuni wenyewe, raisi anaweza kuwapigia magoti ili watoe pesa.
 
Huyu shetani kasau nini nchini?
 
Mwamba bado anakomaa na wahuni.. shida hawataji majina.
 
Wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…