Duuh sikuwa kuliona hili bandiko alichoongea ndio kinachofanyika sasa hivi Kuna kikundi Cha watu wachache wamejiundia serikali Yao tofauti na ya wananchi na wanakula kisawasawa inaonekana hii ni michezo ya CCM sema jamaa aliamua kumwaga mboga baada ya kuondolewa kundini