Humphrey Polepole usipotoshe umma, waliofanya maandamano wote walikuwa CHADEMA

Sky Eclat,
Njaa bado itaendelea kuwa tatizo na kikwazo kikubwa katika ustawi wa taifa letu!!!!
 
Mashinji kwa sasa hawezi tena kutumia akili zake alizo kuwa nazo tena

In God we Trust
Kashazikabidhi tayari Lumumba zimewekwa kwenye droo...saa hii kabakia na zile za kuvukia barabara na za kuimbia mapambio ya kusifu na kuabudu
 
Umesahau na za kupigia ngoma kumfurahisha mtukufu
Kashazikabidhi tayari Lumumba zimewekwa kwenye droo...saa hii kabakia na zile za kuvukia barabara na za kuimbia mapambio ya kusifu na kuabudu

In God we Trust
 
Kumbe sasa hivi ukifanya kosa dawa ni kujiunga ccm huko watakulipia faini
 

Na hii imedhihirisha upinzani bado upo na una nguvu,wameshangazwa Sana na michango wa watu maskini.
 
Nimpongeze kwa kukaa miaka miwili darasani bila kuelewa chochote. Unamtesa Mzee Mgaya kwa uelewa wako duni.
Ana maana aliyepata hiyo Division huko Lumumba wanamuona ana nafuu xnaa kama akina Bashite. Yaani huko imejaa mi mburula ndio mana inabebwa ktk Malori kama mizigo na bado wanajiona watu muhimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…