chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Mwanachama wa kawaida hana nafasi ndani ya CCM hilo ulijui? Ndio maana wanachukuliwa watu nje ya CCM, upewa vyeo serikalini hadi ndani ya CCM. Sasa polepole ni mwanaccm wa kawaida. Kama una maoni peleka kwa m/kiti wa tawi lako liweze kufika kwa m/taifa. Ila kujifanya unauchungu zaidi kuliko bulembo juu ya Magu, halipo! Na umefika juzi huna mizizi, si tishio! Umeona maovu mengi ukujali ulikuwa unademka tu, leo uwaitwe watu wahuni!