Humphrey Polepole: Wahuni hawatashinda, CCM ni taasisi kubwa inayoweza kupambana na wahuni.

Mwanachama wa kawaida hana nafasi ndani ya CCM hilo ulijui? Ndio maana wanachukuliwa watu nje ya CCM, upewa vyeo serikalini hadi ndani ya CCM. Sasa polepole ni mwanaccm wa kawaida. Kama una maoni peleka kwa m/kiti wa tawi lako liweze kufika kwa m/taifa. Ila kujifanya unauchungu zaidi kuliko bulembo juu ya Magu, halipo! Na umefika juzi huna mizizi, si tishio! Umeona maovu mengi ukujali ulikuwa unademka tu, leo uwaitwe watu wahuni!
 
Wajukuu awatoe wap????hata mtoto hana
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiyo genge kubwa pekee la wahuni, mafisadi,waongo na vilaza duniani linalojiita chama cha siasa.
 
Kabla ya kumbeza polepole jiulize je ccm halijajaa mahuni? Kama jibu ni ndiyo basi kwanin polepole aonekane mwehu kwa kupambana na wahuni?
 
Bado hujaijua ccm wewe...
Huyo polepole mwenyewe anaweza kuwa anasetiwa na ccm wenyewe,,
Hukumuona sumayi akiikanyaga katiba ya ccm hadi mkamkaribisha kamati kuu cdm? [emoji23][emoji23]
Hahahahaaaaaaa
 
Tangu lini kinyonga akawa na uwezo wa kukabili wahuni zaidi, ataliwa mshikaki na wahuni anaopambana nao😄.
 
Polepole kafanikiwa kumchomoa mhuni mmoja toka kwenye shimo, watu wote wamemwona mhuni namba 1 akijitokeza!! moshi unaofukishwa na slow slow umeanza kuonesha mafanikio!! Tusubiri mhuni namba 2 naye moshi ukimzidi nguvu ajitokeze hadharani!! hongera sana slow slow, watanzania tulio wengi tunakuelewa!! Fainali 2025!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…