Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wala usijali yashapita naganga yajayo maisha ndio haya tunaishi Kwa furaha , thank you for sunshine thank you for rain thank you for pain thank you yaya yaya it's a beautiful day .Pole sana Miss Unique Flower kweli wakati mwingine ndugu au watu wa karibu ni nuksi sana. Yawezekana hakuwa chaguo lako huyo Prosper kuwa na subira Allah atakupatia mwingine tu
Tunatamani nini?? na hatupo serious kivipi we unaona? [emoji848]Hakunaga mtu serious wengi wasingekuwa single meaning mnamatani na hampo serious
Mwache ajitekenye
πππMwache ajitekenye
Aiseee naona Uchira 1 umeamua kumpigia debe mcharuko DahanAkikutana na bint toka kwa BWANA kama Dahan hata hivyo vidole havitaweza andika ujinga. Ndugu yangu Half american Mr kenice @mwachiluwi Intelligent businessman Kanali G wanakumbushwa hadi kusali asubuhi zaid ya hapo unataka nn tena mkuu
Bila kunitaja, siku yako haijaenda poaπππ Intelligent businessman
Unaota si bure, mi nimejibu hapo walipo nitag tu. Coz hujwai kuwa hata quarter of my favorites π€£π. π I mean no malice to nobodyBila kunitaja, siku yako haijaenda poaπππ Intelligent businessman
unless hujacomment out of my comment vinginevyo hujui ulisemaloHuyu nina uhakika hajawahi hata kukutana na mwanamke wa jf. Basi ujuaji tu.
Ukweri ndo huo mkuuHumu wengi ni ngoma ngumu wameshindikana.
Kuna mmoja nilimpata miaka hiyo kuja kumchunguza ni gumegume linalojua viwanja vyote vya starehe ni shiidaa.
unless hujacomment out of my comment vinginevyo hujui ulisemalo
hapana mkuuUmechanganya madesa sio?
Hapo ndipo wanawake mnakosea nakujikuta hamuolewi na wengine wanabaki kuwa single mother.Ipo siku huyo aliyezoea kufanyiwa hivyo ataliwa yeye na mke wake