Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

Pole sana Miss Unique Flower kweli wakati mwingine ndugu au watu wa karibu ni nuksi sana. Yawezekana hakuwa chaguo lako huyo Prosper kuwa na subira Allah atakupatia mwingine tu
Wala usijali yashapita naganga yajayo maisha ndio haya tunaishi Kwa furaha , thank you for sunshine thank you for rain thank you for pain thank you yaya yaya it's a beautiful day .
 
Ipo siku huyo aliyezoea kufanyiwa hivyo ataliwa yeye na mke wake
Hapo ndipo wanawake mnakosea nakujikuta hamuolewi na wengine wanabaki kuwa single mother.
Mwanamke wa kupokea tu huyu ukiingia naye kwenye ndoa, siku uchumi umeyumba au kufukuzwa kazi anakukimbia.
Ushafunga ndoa na yule jamaa wako wa JF au kakimbia?
#Kataa ndoa, ndoa ni utapeli
 
Back
Top Bottom