Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

😃😃Et hama kwenu nenda kapange tuje tuishe aisee uyo jamaa kazingua kwa kiwango cha PhD.
 
Wanaume wamezidisha kuchamba na umbea, its not healthy or fun anymore! kila kona thread za kuchamba wanawake wakina dr kumbuka mmezidi bana.
Hawataki kujituma unadhani nani Sasa hata wachoka mtu anaomba hela ya bando , ya Kodi anasema nije nikae kwako ??
As if ndio demu , wao nikuwaangalia wakina Gigi money na kufuatilia madanga ya kikebasi
 
😃😃Et hama kwenu nenda kapange tuje tuishe aisee uyo jamaa kazingua kwa kiwango cha PhD.
Eh kasema unadhani hii Dunia si imeisha nilishasema sintokuja huku ila nakuja.
Yaani hadi magari ya wanaume asilimia kubwa ni ya wanawake, ofisi , kila kitu , Cha wanawake . Hadi Kodi wanalipiwa an wanawake asilimia kubwa Kwa Sasa
 
Uyo jamaa ni wa Jf??
 
Cha Arusha acha dharau maisha ni haya haya ukiwa na jeuri na kujiona utaishia kuwa shoga maana wanawake wotee umewadharau unaishia kuvalishwa shanga na vikuku ili ukidhi haja Yako
Unique sikumaanisha wewe, lakini kama umesema hivyo sawa Pal"

Sitaki malumbano na wewe na wala sitakuja kulumbana na wewe.

I'm big fan of you.
 
umenena sahihi mkuu
 
Reactions: Exy
Unakuja kutafta anonymous awe mke wako una kichaa!?
Natania tu way back kuna uncle wangu ashawahi pata binti wa kiarabu kwa kutafta mpenzi redioni na uncle ana exposure zake.
In world of uncertainty everything is possible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…