Humu JF kila mtu anajua kila kitu!

Kwani mtu ikitokea amejua usichokijua na akajua unachokijua wewe kuna shida gani? Yaani hata kwenye kujua na kutojua mnalilia kuwe na demokrasia?
 
Sio ngumu mbona,

Tab moja unafungua jf, tab moja unafungua google, ukiona huelewi kitu unagoogle, unajibu mashambulizi...

Usikubali kupitwa kiboya, kuwa mbishi!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimefanya sana hii kitu, kwasasa najifunza zaidi kuliko ubishi.

Ila ubishi unafundisha sometimes aisee, utatukanwa, utaitwa zuzu wewe umekomaa tu kumbe somo limekuingia unaaubiri mwingine ajae umpe uliyojifunza in a hard way πŸ˜€πŸ˜€.
 
Ndo maana halisi ya burudani
 

Na wewe ujitahidi ujue vitu vingi. Sio dhambi kuwa na ufahamu mpana kwenye mambo mengi. Kama mtu anajua, ni vizuri akikuelimisha. Labda kama anajifanya anajua wakati hajui, basi hapo sio sawa.
 
Na wewe ujitahidi ujue vitu vingi. Sio dhambi kuwa na ufahamu mpana kwenye mambo mengi. Kama mtu anajua, ni vizuri akikuelimisha. Labda kama anajifanya anajua wakati hajui, basi hapo sio sawa.
Asante sana kwa Kuwaelimisha Majuha.
 
Na nimetulia kabisa.Sina noma.πŸ˜ŽπŸ™
NB;Namuhimiza awe mbishi muda mwingi na si wote.Ubishi ni mbinu ya uchokozi ili kufichua yaliyofichwa na usiyoyajua yajiibue na kuibuliwa.Tuisheni bila ada.
Kabisa ubishi huibua ego Mzee wangu.

Naona ni kupata supu baada ya Gambe la Jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…