Humu JF kila mtu anajua kila kitu!

Humu JF kila mtu anajua kila kitu!

Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.

Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.

Yaani nyie kila kitu mnajua.
Kwani mtu ikitokea amejua usichokijua na akajua unachokijua wewe kuna shida gani? Yaani hata kwenye kujua na kutojua mnalilia kuwe na demokrasia?
 
Sio ngumu mbona,

Tab moja unafungua jf, tab moja unafungua google, ukiona huelewi kitu unagoogle, unajibu mashambulizi...

Usikubali kupitwa kiboya, kuwa mbishi!
😂😂😂 Nimefanya sana hii kitu, kwasasa najifunza zaidi kuliko ubishi.

Ila ubishi unafundisha sometimes aisee, utatukanwa, utaitwa zuzu wewe umekomaa tu kumbe somo limekuingia unaaubiri mwingine ajae umpe uliyojifunza in a hard way 😀😀.
 
Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.

Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.

Yaani nyie kila kitu mnajua.
Ndo maana halisi ya burudani
 
Na wewe ujitahidi ujue vitu vingi. Sio dhambi kuwa na ufahamu mpana kwenye mambo mengi. Kama mtu anajua, ni vizuri akikuelimisha. Labda kama anajifanya anajua wakati hajui, basi hapo sio sawa.
 
Asante sana kwa Kuwaelimisha Majuha.
 
Na nimetulia kabisa.Sina noma.😎🙏
NB;Namuhimiza awe mbishi muda mwingi na si wote.Ubishi ni mbinu ya uchokozi ili kufichua yaliyofichwa na usiyoyajua yajiibue na kuibuliwa.Tuisheni bila ada.
Kabisa ubishi huibua ego Mzee wangu.

Naona ni kupata supu baada ya Gambe la Jana
 
Back
Top Bottom