Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi hawatumii hivyosiku hizi ukiona comment ipo very intelligent usistuke ata kidogo watu tunatumia copilot,Gemini,chatgpt na kadharika ........huo ndio huhuaji wenyewe 😅
Mkuu naona ushamaliza pepaSio ngumu mbona,
Tab moja unafungua jf, tab moja unafungua google, ukiona huelewi kitu unagoogle, unajibu mashambulizi...
Usikubali kupitwa kiboya, kuwa mbishi!
Anaogopa kuona watu wanajua na yeye amebung'aa tu.Wee miyeyusho ujue
Apige konyagi akili itakaa sawa.Anaogopa kuona watu wanajua na yeye amebung'aa tu.
Na bado.Akileta uzi hata wa kujifungua na kujisikia uchungu tutachangia kama tuna mifuko ya kubebea watoto tumboni.Ataimba haleluya!Apige konyagi akili itakaa sawa.
Mkuu hii blue Monday ipo Sawa Leo kwako Kweli? 😂Na bado.Akileta uzi hata wa kujifungua na kujisikia uchungu tutachangia kama tuna mifuko ya kubebea watoto tumboni.Ataimba haleluya!
Umetoboa siri mkuuSio ngumu mbona,
Tab moja unafungua jf, tab moja unafungua google, ukiona huelewi kitu unagoogle, unajibu mashambulizi...
Usikubali kupitwa kiboya, kuwa mbishi!
Na nimetulia kabisa.Sina noma.😎🙏Mkuu hii blue Monday ipo Sawa Leo kwako Kweli? 😂
Kwani mtu ikitokea amejua usichokijua na akajua unachokijua wewe kuna shida gani? Yaani hata kwenye kujua na kutojua mnalilia kuwe na demokrasia?Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.
Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.
Yaani nyie kila kitu mnajua.
😂😂😂 Nimefanya sana hii kitu, kwasasa najifunza zaidi kuliko ubishi.Sio ngumu mbona,
Tab moja unafungua jf, tab moja unafungua google, ukiona huelewi kitu unagoogle, unajibu mashambulizi...
Usikubali kupitwa kiboya, kuwa mbishi!
Ndo maana halisi ya burudaniHumu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.
Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.
Yaani nyie kila kitu mnajua.
hajapata vocha mkuuShida iko wapi
Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya kisiasa yumo yaani akichambua migogoro ya Marekani na urusi unaweza dhani labda amesomea ata diplomasia Daaaah wanajf mi nimenyoosha mikono.
Mfano mzuri ni mshana je na wengine yaani yeye kila jukwaa yupo na hakuna kitu asichokijua Daaaah 😱 kila kitu yeye anajua😂😂 afu kuna wale sasa yeye anasubiri mada iletwe jukwaani yeye apinge, halafu kuna huyu yeye anasubiri mada tu atukane au achokoze mtu waanze kuporomosheana mitusi.
Yaani nyie kila kitu mnajua.
Asante sana kwa Kuwaelimisha Majuha.Na wewe ujitahidi ujue vitu vingi. Sio dhambi kuwa na ufahamu mpana kwenye mambo mengi. Kama mtu anajua, ni vizuri akikuelimisha. Labda kama anajifanya anajua wakati hajui, basi hapo sio sawa.
Kuchelewa kujua siyo ujinga, ujinga ni kutotaka kujua, (kujifunza)Kwani mtu ikitokea amejua usichokijua na akajua unachokijua wewe kuna shida gani? Yaani hata kwenye kujua na kutojua mnalilia kuwe na demokrasia?
Kabisa ubishi huibua ego Mzee wangu.Na nimetulia kabisa.Sina noma.😎🙏
NB;Namuhimiza awe mbishi muda mwingi na si wote.Ubishi ni mbinu ya uchokozi ili kufichua yaliyofichwa na usiyoyajua yajiibue na kuibuliwa.Tuisheni bila ada.