Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Hili jambo nimeliona sana hasa kwa wale wakongwe wanalitumia hili kama ngaoπŸ˜…

Unaweza ona join 2020 au 2026 ila ni joini 2007 , anaijua jf kuliko wewe kiazi wa hapo join 2010 sijui join 2017 πŸ˜…

Kuna maoni ya watu yanapuuziwa tu kisa ni joini za miaka ya karibuni , unakuta kijana kama adriz ( jokes, usijali bwashee) wa hapa 2017 tuπŸ˜…,ila anamtishia legend aliye kuja 2026 kwa parody lake tu na sio hojaπŸ˜…


Asee jf tubadilke kabisa tudili na hoja na hoja binafsi na sio I'd ya mtu πŸ€”
 
Watakaoheshimika ni wale waliotunza I'd zao hadi leo, Za 2006, 2008,2009 ,2010, 11,12,13,14,15 nk.
Wengine mliozitelekeza halafu mnakuja kujitapa kuwa ni wakongwe, basi pambaneni na hali zenu.

Kama mwenyewe umeshindwa kuwa mwaminifu kuilinda ID yako ya zamani,unataka sisi utulazimishe kukubali kuwa ni mkongwe?
Tumia id zenu za zamani mpunguze kujieleza., especially kwa mnaotamani kuaminisha watu kama nyie ni wakongwe.

Kuwa new comer siyo dhambi Wala makosa.
 
πŸ˜…πŸ˜… madam umejaaa kwenye mfumo , ila wewe ni mkubwa mwenzangu wa Liverpool acha nikuache tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… japo manjesta tunateseka mnoπŸ˜…
 
Me naamini heshima ni kutokana na aina ya maoni au mada unazoleta jukwaani

Kuna id za 2020 na kuendelea ila zina andika vitu ambavyo ukivisoma unasema yaap huyu member ana kitu na wengine mpaka change wanazileta kutokana na mada zao

Ila sasa daah kuna id unaiona kabisa ya legend ila utumbo anaoutoa bora nisiuseme maana ni wakongwe wanaweza kutoa laana
 
Sure kuna I'd za karibuni zinaandika madini tu , hilo sikatai , jf nikichaka unaweza disi mada zangu hapa ila nikija na parody ukakubali mapigoπŸ˜… unajua tunaona bwashee?πŸ˜…
 
πŸ˜…πŸ˜… madam umejaaa kwenye mfumo , ila wewe ni mkubwa mwenzangu wa Liverpool acha nikuache tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… japo manjesta tunateseka mnoπŸ˜…
Naona kila siku huwa unalialia jukwaani kwamba wewe ni Mkongwe
Usidharauliwe kulingana na mwaka uliojoin.
Mwambie Melo akurudishie ID yako ya zamani Ili Sasa usihangaike kuliimba hili.

Manjesta mjaribu biashara nyingine
Hii ya mpira imewashindaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inashangaza ila kuna namna naona hata uchangiaji wa members upo kwa kuangalia join
Wanatuonea sana bwashe just imagine nilianzisha uzi wenye ujumbe mzuri tu halafu cha ajabu niliambulia comments zako na za miamba Seran secretarybird Red black na raraa reree ila dada ShesRise_1 alipata wachangiaji wa kutosha kisa tu kaanzisha uzi wa "Kwenye mapenzi nani anamkula mwenzake"
 
Hahah mpaka niwape maelekezo mods wanaweza rudisha binafsi yao ni ngumu snaπŸ˜…πŸ˜…
 
Hivi kumbe min -me umejoin 2022 tu hapo πŸ˜€
Nyie new members kwa % kubwa mada zenu mnakuwa kama mmerukwa akili πŸ˜‚

Nwei, WanaJF wana tabia ya kupuuza members mpya na kuna wengine wanaenda mbali zaidi ku-attack mtu sababu ni mdogo kiumri ( Hii ilikuwa sana miaka ile) namshukuru Mungu mimi sio mdogo tena
 
Una amini la mimi ku joini 2022 tu?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwasababu hawana content ! Jf sio ya kila mtu japo kwa sasa imevamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…